Simba wanavyohangaika na goli la Sakho

Aden Rage alisema Simba wote ni Mbumbumbu.Na kwa kusema hivyo alimaanisha Simba wote akiwemo na yeye.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Leo zamu ya nani kuchunga maana mpaka Sasa ng'ombe yupo zizini
Mwenye ng'ombe alifunga magori mazuri sana msimu huu. Akapewa tuzo, lkn mashabiki wa Yanga wametulia tu. Ila nyie hamlali kwa goli la Sakho
 
Unafaa kuimba taarabu
 
Ujinga hauwezi kuwaondoka ninyi....

Mchezaji wa Simba kachukua Tuzo ya Goli bora Afrika... Alafu wewe unakuja hapa unaleta ngonjera....

Nina mashaka na weledi wako kisoka.....

Ficha ujinga wako!
Yes sakho kapata kiatu msimu huu.
Je club ya simba imepata nini msimu huu??
Wakimataifa mmepigwa hadi na mbeya city 🤣🤣🤣
 
Simba msimu huu hawakua na cha kushangilia..ndiyo maana ukaona wakaamua
1) wamshabikie george mpole
2)Sopu
3)Washangilie Mayele kukosa kuwa mfungaji bora
4)Washangilie eti Yanga hajasafiri kwenda pre season camp
5)Washangilie Haji Manara kufungiwa miaka miwili
6)Washangilie usajiri
7)Na sasa Goli la Sakho..ambalo ukilipima na lile la Mayele la tik tak kali alilolifunga ktk ligi yetu la Mayele ni bora zaidi tena mara tatu! Ni vile tu CAF hawajaliona.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
🚨 KUTOKA KWA BUGATI

Kupanga ni kuchagua. Wakati Yanga akichukua Treble this season kwa kushinda Ngao Ya Jamii, Azam federation na Ligi kuu, Makolo Treble zao ni

👉Mpole Cup

👉Sopu Cup

👉Sakho Cup Kiufupi chake Treble ya Manyonyo inaitwa MSOSA.

Nb :: Tabu ipo pale pale Makolo,,hadi mtueleze kale katwenty mmekaficha wapi MSOSA KAMA MSOSA TREBLE Byuti Byuti 🏆🏆🏆
 
Kolo wana tabu sana. Alaf wana gubu kama nn. Just imagine wanashangilia mayele kukosa kiatu na tena wanamuuza kwa lazima kwa Kaizer Chiefs bila ithini ya Yanga ilimradi asiwatungue tena ngao ya jamii. Na sasa kelele za sakho utadhani kuna kombe linaitwa Sakho cup.
 
Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…