Simba wanavyohangaika na goli la Sakho

Sasaivi Simba wanasherehekea habari ya Rais wa Senegal kumpongeza Sakho
 
Ukikosa ubingwa basi mpaka ugomvi wa kuku wanapopigana nao utashangilia tu
 
Hapo no 7, uliposema CAF hawajaliona, ilibidi wee ndo ukalionesheee, kwan ulikwamaaa wapi???

Si alipewa na TFF kwan umesahau??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maumivu badooo, kuwa mpoleeee.

Byuti byuti.
 
Sasaivi Simba wanasherehekea habari ya Rais wa Senegal kumpongeza Sakho
Kwann utesekeeee?? Kwann uumie??
Kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti.
 
Chura wa njano mnateseka kwa wivu.. washirikina hawaendi peponi.
 
Hahahaa. Amka usingizini Mtani hizi kauli zako ni kama umelala unaota. 😅😅
 
Usitupangie
 
Dj mlete Sakho na kiatu chake cha AFRICA. VIVAAAA SIMBA
 
Hahahaa. Amka usingizini Mtani hizi kauli zako ni kama umelala unaota. [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani utulie, maumivu enyewe yanakujaaa.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kaandika kwa maumivu makali sana...meza panadol na maji meeeeengi then tulia kama dk kumi hv utakuw sawa mkuu
 
Mwenye ng'ombe alifunga magori mazuri sana msimu huu. Akapewa tuzo, lkn mashabiki wa Yanga wametulia tu. Ila nyie hamlali kwa goli la Sakho

Sasa baba uhangaike na tuzo ya goli la nbc akati hata ngushi alipiga akiwa mbeya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]lile la sakho ni la Africa lazima roho iume tuu hamna namna..pole lakini inatokeaga
 

Basi tutampa ile tuzo mayele usjali
 
Hata Yanga wakitamba na Ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…