Simba waombe msamaha wameaibisha taifa

Simba waombe msamaha wameaibisha taifa

We jamaa acha kuwa kwa kutumia kalio Simba ina sifuri, petro ina sifuri tp mazembe ina sifuri.......

Yaani hapo ukiondoa Al ahly pekee hao wengine wote wapo sawa na Simba.

Au unataka kuwaaminisha [emoji196][emoji196]hawana sifuri?

[emoji196][emoji196]Kichwa panzi wahed mkubwa [emoji1]
Unajisikiaje kuona ni Kolo tu ndo aliyekandwa mkuu???[emoji23]
 
Mwakarobo mwaka huu wame beba ball possession trophy ndo wana tamba nalo . tuwaache bhanaa [emoji81][emoji81][emoji81]
 
Hasira za Nini Mkuu [emoji23][emoji23] ebu mpelekee hasira zako Al ahly
Mkuu hakuna cha hasira wala nini. Tunachosema ni ukweli hapa hakuna ambae ameshafuzu kila timu bado ina nafasi.

Kama simba angefungwa zaidi ya goli Moja ningekwambia mwendo kaumaliza. Lakini kwa hilo goli Moja bado nafasi anayo iwapo atasahihisha nakosa yake.

Ulitegemea kwenye lile kombe la AFL simba atoe draw na Ahly kule cairo tena Ahly kutanguliwa kufungwa?

Tuziombee timu zetu zifuzu badala ya huu ushabiki usio na tija kwa taifa letu.

Daima mbele nyuma mwiko ,
#Simba nguvu Moja#
 
Hao walifungwa nyumbani ndio watakaoshinda ugenini na hao waliodraw nyumbani ndio watakaochezea vichapo ugenini . Tunza hii post.
Hivi ni vichekesho[emoji23]

Ni mjinga tu ataamini kuwa makolo watapita
 
Mkuu hakuna cha hasira wala nini. Tunachosema ni ukweli hapa hakuna ambae ameshafuzu kila timu bado ina nafasi.

Kama simba angefungwa zaidi ya goli Moja ningekwambia mwendo kaumaliza. Lakini kwa hilo goli Moja bado nafasi anayo iwapo atasahihisha nakosa yake.

Ulitegemea kwenye lile kombe la AFL simba atoe draw na Ahly kule cairo tena Ahly kutanguliwa kufungwa?

Tuziombee timu zetu zifuzu badala ya huu ushabiki usio na tija kwa taifa letu.

Daima mbele nyuma mwiko ,
#Simba nguvu Moja#
Hakika
 
Kwa mpira wa hovyo walioucheza Yanga jana, wakienda South ni kufa tu tena si chini ya mabao 3
 
Back
Top Bottom