Simba waombe msamaha wameaibisha taifa

1. Usipoteze muda na Laban ni Chura mtiifu na sasa yupo dimbwini kashiba wadudu, kushindana naye kukoroma ni kujitafutia tatizo la kansa ya koo. Huu ni wakati wake. Yanga inafanya vizuri.

2. Acha unafiki. Hakuna timu zinaitwa timu zetu, timu yetu ni Taifa stars. Furaha ni kumuona mpinzani wako anaukosa ubingwa.

Unadhani Simba jina la mwakarobo tulijipa? Tumepewa na vyura na wanatamani mwaka huu walitumie tena.

Yanga ikibeba ubingwa itatembeza kombe mtaa kwa mtaa na Simba tutajifungia ndani kwa unyonge sana.

Hakuna sababu ya kuwa mnafiki kuwa shabiki wa Simba utaiombea Yanga ipite nusu fainali. Si kweli.
 
Aaahaaa

Asante ndugu mchambuzi

We ndo mchambuzi #1 hapa jf
 
Kila mtu ashinde mechi zake
 
Hakuna cha ajabu hapo team 7 zipo na 0 na wewe kwa upumbavu wako unakaza fuvu Simba kakandwa, hivi [emoji196][emoji196]hamjakandwa mna goli ngapi mpaka sasa?

Acha kuwaza kwa kutumia makario dogo
Hii inaonyesha kolo ndo myonge pale mjini robo fainali [emoji23]
 
Hii inaonyesha kolo ndo myonge pale mjini robo fainali [emoji23]
Nimekuuliza 🐸🐸mna goli ngapi unakenua tu domo kama mpiganyeto wa kihansi, hebu leta majibu acha kujishebedua kama watu wa free entrance kwa Mkapa jana
 
Nimekuuliza [emoji196][emoji196]mna goli ngapi unakenua tu domo kama mpiganyeto wa kihansi, hebu leta majibu acha kujishebedua kama watu wa free entrance kwa Mkapa jana
Makolo... kwaherini... Asante Kwa kushiriki CAF champions league
 
Huyu amed ally nikisikiliza press zake huwa nacheka sana. Kama kuna ambaye anamchukulia siriaz bila shaka hayupo sawa kichwani. Ila napenda style yake ya kuamasisha na namna anavyotutania wananchi, jamaa hachochei uadui halafu hana kashfa na maneno ya shombo kama manara alivyokua simba.
 
Ahmed ally mafanikio ya yanga Yana mpain sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…