Simba wapata hasara milioni 638

Simba wapata hasara milioni 638

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
SIMBA [emoji881] WAPATA HASARA MILIONI 638[emoji736]

Klabu ya Simba imeingia hasara ya zaidi ya Shilingi Million 600 kutokana na baadhi ya mashabiki wake kufanya fujo na kung'oa viti kwenye mechi ya Shirikisho...

Kutokana na Matukio hayo Simba imefungiwa kuingiza mashabiki mechi ya mwisho ya kundi dhidi ya Costantine.

Kitendo cha Simba kutoingiza madhabiki kunaikosesha simba mapato ya mlangoni zaidi ya Million 500

Pia Simba imetozwa Faini ya Dollar 40,000 (sh.Million 100) za kitanzania kwa kufanya fujo hizo

Pia Simba imetozwa sh. Million 38.4 kwaajili ya kukarabati viti vilivyoharibiwa na mashabiki waje

Million 500 + Million 100 + Million 38.4 = Million 638.4 hii ndio hasara waliyoiingiza Mashabiki wacgache wapumbavu

Ifike mahali tuache kucheka na hawa wapuuzi vilabu vyetu bado vinajitafuta sio matajiri hizi pesa ni hasara kubwa sana kwa klabu, hiyo million 600 ingefanya mambo mengi sana kwenye timu lakini inapotea kwaajili ya wapumbavu wasiozidi hata 50 waliolipa 3,000
1734349486985.jpg
 
Mi ni simba ila huu uoumbavu wa wachache umetuathiri, nimefanya mambo chapchap ili jumapili niwe free niichek game kabla ya kurudi mkoani ila yamekuwa haya tena.
Jumamosi tukutane kwa mkapa angalau niwacheke nifurahi
 
SIMBA [emoji881] WAPATA HASARA MILIONI 638[emoji736]

Klabu ya Simba imeingia hasara ya zaidi ya Shilingi Million 600 kutokana na baadhi ya mashabiki wake kufanya fujo na kung'oa viti kwenye mechi ya Shirikisho...

Kutokana na Matukio hayo Simba imefungiwa kuingiza mashabiki mechi ya mwisho ya kundi dhidi ya Costantine.

Kitendo cha Simba kutoingiza madhabiki kunaikosesha simba mapato ya mlangoni zaidi ya Million 500

Pia Simba imetozwa Faini ya Dollar 40,000 (sh.Million 100) za kitanzania kwa kufanya fujo hizo

Pia Simba imetozwa sh. Million 38.4 kwaajili ya kukarabati viti vilivyoharibiwa na mashabiki waje

Million 500 + Million 100 + Million 38.4 = Million 638.4 hii ndio hasara waliyoiingiza Mashabiki wacgache wapumbavu

Ifike mahali tuache kucheka na hawa wapuuzi vilabu vyetu bado vinajitafuta sio matajiri hizi pesa ni hasara kubwa sana kwa klabu, hiyo million 600 ingefanya mambo mengi sana kwenye timu lakini inapotea kwaajili ya wapumbavu wasiozidi hata 50 waliolipa 3,000View attachment 3203370
Huyo mwamba hapo anachekesha sana kwa kweli.
 
lazma simba achukue kombe la shirikisho zamu hii
 
Niambie lini Simba au Yanga iliwahi kutumia uwanja wa Mkapa wakaingiza mapato ya milioni 500 baada ya makato yote.

Unaweza kuwa na hoja ila unaiharibu hoja yako kwa kuchomekea data za uongo.
 
Mudi kashindwa kusajili wachezaji wa maana kutokana na gharama zao sembuse atoe pesa eti kulipia wajinga labda kama sio mhindi,,wafanyakazi wake tu anawalipa laki mbili mbili unacheza na wahindi wewe!
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom