Simba wapata hasara milioni 638

Simba wapata hasara milioni 638

Sasa si ungemshauri angeweka walau milioni ngapi za madafu! Maana hasara kwa namna yoyote ile haikwepeki baada ya kupigwa faini na pia kufungiwa na CAF.
Data siyo mambo ya kushauriana, ni ama unazo au hauna. Kwani unadhani nyie mnavyokwenda uwanjani mpaka mpewe supu na tiketi za bure na bado hamjazi uwanja klabu yenu haiingii hasara kila siku?
 
Kitendo cha Simba kutoingiza madhabiki kunaikosesha simba mapato ya mlangoni zaidi ya Million 500
Msimu mzima wa 2023/2024 Simba iliingiza faida ya sh. 835,805,000/= ya kiingilio. Hiyo faida (baada ya makato) ya sh. 500M itatoka wapi kwa mechi moja?

1737027359269.png


Source:
 
SIMBA [emoji881] WAPATA HASARA MILIONI 638[emoji736]

Klabu ya Simba imeingia hasara ya zaidi ya Shilingi Million 600 kutokana na baadhi ya mashabiki wake kufanya fujo na kung'oa viti kwenye mechi ya Shirikisho...

Kutokana na Matukio hayo Simba imefungiwa kuingiza mashabiki mechi ya mwisho ya kundi dhidi ya Costantine.

Kitendo cha Simba kutoingiza madhabiki kunaikosesha simba mapato ya mlangoni zaidi ya Million 500

Pia Simba imetozwa Faini ya Dollar 40,000 (sh.Million 100) za kitanzania kwa kufanya fujo hizo

Pia Simba imetozwa sh. Million 38.4 kwaajili ya kukarabati viti vilivyoharibiwa na mashabiki waje

Million 500 + Million 100 + Million 38.4 = Million 638.4 hii ndio hasara waliyoiingiza Mashabiki wacgache wapumbavu

Ifike mahali tuache kucheka na hawa wapuuzi vilabu vyetu bado vinajitafuta sio matajiri hizi pesa ni hasara kubwa sana kwa klabu, hiyo million 600 ingefanya mambo mengi sana kwenye timu lakini inapotea kwaajili ya wapumbavu wasiozidi hata 50 waliolipa 3,000View attachment 3203370
Kwahyo Rabani umeamua kujionyesha jinsi ulivyokua unachomoa viti...
 
Back
Top Bottom