Simba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL

Simba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%

Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].

1. Mamelods = 26%
2 Wydadi Casablanca= 19%
3 Al ahly = 16%
4 Raja Casablanca= 13%
5 Esperence de Tunis = 10%
6 CR belouizidad = 8%
7 Js Kabyalje = 5%

8 SIMBA = 3%
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC

Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????
1680676506052.jpg
 
Ushauri Kwa sisi wanasimba

Kama umekasirishwa na hii rank basi simu Yako igeuze juu chini ( upside ..down) ndipo tutakua wa kwanza

This is the only way tunaeza kuwa namba 1 kama hivi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]
1680677927535.jpg
 
Kuwa MZALENDO.....Kwann Simba asichukuwe
Uzalendo hauingii kucheza uwanjani hata wao wanajua target Yao ni nusu ambapo hapo napo kufika ni ngumu labda wakutane na ESP ila hao masandawana na wydad ni hapana Morroco wako kwenye prime ya mpira kwa Sasa hawako tayari kupoteza kwenye mashindano ya Afrika Mamelody alimaliza mechi mapema akahifadhi nguvu ya robo final maana pamekuwa pakimsumbua
Shalulile alipangua beki ya Cameroon imagine Onyango [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu so unakubaliana na hizi HUJUMA....kupewa 3%
 
Mkuu so unakubaliana na hizi HUJUMA....kupewa 3%
Sio hujuma, watu waliosoma hesabu hadi walau A Level wanaelewa sana maana ya probability. Wengine ambao hawakulazimika kuzisoma lakini wanazitumia, ni wazee wa kuweka mzigo, yaani betting. Lakini mwingine akiona 3% au 0.03 basi anajua ni karibu na zero, anaacha kupigia hesabu
 
Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo. Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].

Hivi ni kwa nini mashirika mbalimbali kama haya hayayapi kipaumbele au kujishughulisha na mashindano ya kombe la shirikisho?
 
Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%

Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].

1. Mamelods = 26%
2 Wydadi Casablanca= 19%
3 Al ahly = 16%
4 Raja Casablanca= 13%
5 Esperence de Tunis = 10%
6 CR belouizidad = 8%
7 Js Kabyalje = 5%

8 SIMBA = 3%
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC

Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
NIMECHEKA SANA HAPA KAMA MAZURI VILE...underdog for life
 
Sio hujuma, watu waliosoma hesabu hadi walau A Level wanaelewa sana maana ya probability. Wengine ambao hawakulazimika kuzisoma lakini wanazitumia, ni wazee wa kuweka mzigo, yaani betting. Lakini mwingine akiona 3% au 0.03 basi anajua ni karibu na zero, anaacha kupigia hesabu
Weme tu undermine mkuu
 
Back
Top Bottom