Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kapigwa saba kama amesimama. Vigogo (wa CL lakini, sio shirikisho) wana hofu na matokeo ya ajabu kwa Mkapakwakweli...tumempiga mtu saba nunge ndo na bado wanatufanyia hv dahh!!!
Mbona Yanga hatumo? Hujuma za wazi, hata kutupost hawataki hawa CAFSimba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL
Ila hapa nyumbani lazima akaeWydad anachukua hili kombe back to back na atatupa ushindani sana kwenye super cup sisi yanga
AhahahaaaUzi huu ni maalum kwa washabiki wa timu nane tu zinazocheza CAF Champions League Quarter Finals 2023 tu. Kama haupo miongoni mwa washabiki wa timu hizo, kachangie kwenye uzi mwingine
Underdogs will always be underdogsWeme tu undermine mkuu
uhurumojaUzalendo hauingii kucheza uwanjani hata wao wanajua target Yao ni nusu ambapo hapo napo kufika ni ngumu labda wakutane na ESP ila hao masandawana na wydad ni hapana Morroco wako kwenye prime ya mpira kwa Sasa hawako tayari kupoteza kwenye mashindano ya Afrika Mamelody alimaliza mechi mapema akahifadhi nguvu ya robo final maana pamekuwa pakimsumbua
Shalulile alipangua beki ya Cameroon imagine Onyango [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utopolo wao wanapewa asilimia ngapi kuchukua ubingwa wa CAFCL????Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%
Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].
1. Mamelods = 26%
2 Wydadi Casablanca= 19%
3 Al ahly = 16%
4 Raja Casablanca= 13%
5 Esperence de Tunis = 10%
6 CR belouizidad = 8%
7 Js Kabyalje = 5%
8 SIMBA = 3%
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC
Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
Mbona hapo hapo Raja kamaliza pakiti?Ila hapa nyumbani lazima akae
Hawawezi kuelewa hapa,sababu akili hawanaSimba isingefika ilipofikia hizo asilimia isingepata