Simba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL

Simba wapewa 3% za kubeba ubingwa CAFCL

1680685833257.png
 
Uzi huu ni maalum kwa washabiki wa timu nane tu zinazocheza CAF Champions League Quarter Finals 2023 tu. Kama haupo miongoni mwa washabiki wa timu hizo, kachangie kwenye uzi mwingine
 
Uzi huu ni maalum kwa washabiki wa timu nane tu zinazocheza CAF Champions League Quarter Finals 2023 tu. Kama haupo miongoni mwa washabiki wa timu hizo, kachangie kwenye uzi mwingine
Ahahahaaa

Ungeweka angalizo pale juu wakati mleta mada anabandika uzi wake
 
Uzalendo hauingii kucheza uwanjani hata wao wanajua target Yao ni nusu ambapo hapo napo kufika ni ngumu labda wakutane na ESP ila hao masandawana na wydad ni hapana Morroco wako kwenye prime ya mpira kwa Sasa hawako tayari kupoteza kwenye mashindano ya Afrika Mamelody alimaliza mechi mapema akahifadhi nguvu ya robo final maana pamekuwa pakimsumbua
Shalulile alipangua beki ya Cameroon imagine Onyango [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uhurumoja

"Uzalendo hauingii kucheza uwanjani "

☝️☝️☝️☝️

Hapo juu umeongea madini matupu
 
Chapisho la Africa soccer zone kulingana na ubobezi wake limetoa % za timu zinazoweza kuchukua ubingwa wa CAFCL kama ifuatavyo MAKOLO ni WA mwisho Wana 3%

Probability of winning the CAF Champions League according to @AfricaSoccer_zn [emoji102][emoji471].

1. Mamelods = 26%
2 Wydadi Casablanca= 19%
3 Al ahly = 16%
4 Raja Casablanca= 13%
5 Esperence de Tunis = 10%
6 CR belouizidad = 8%
7 Js Kabyalje = 5%

8 SIMBA = 3%
#TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC

Je unadhani tumeonewa......& Unampa % ngapi mnyama ( dunduka FC ) kuchukua ubingwa????View attachment 2576981
Utopolo wao wanapewa asilimia ngapi kuchukua ubingwa wa CAFCL????

elewa swali usikurupuke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utopolo wao wanapewa asilimia ngapi kuchukua ubingwa wa CAFCL????

elewa swali usikurupuke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naleta taarifa.....mkuu
 
Back
Top Bottom