Kalagabaho.Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba
Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya
Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Suala siyo kudhamini tu, hapo unaongelea biashara ya watu.Mbona simple tu MO na Vunja bei wapeleke ombi TFF la kudhamini ligi kuu.Ili Yanga nao wavae nembo original ya MO na Vunja bei.
Kweli Mkuu Vunja bei atahalibiwa biashara.Suala siyo kudhamini tu, hapo unaongelea biashara ya watu.
Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba
Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya
Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Hujaelewa hoja, UsikurupukeMkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba
Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya
Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Kwa hili TFF na bodi ya ligi wameonesha ujinga wao haki ya MunguVunja Bei ni kit supplier wa jezi za Simba ,GSM ni kit supplier wa Yanga . Halafu halafu nembo ya supplier wa Yanga ibandikwe kwenye Simba .
Yaani NIKE wabandikwe nembo ya Adidas na nembo zote mbili ziwe kwenye jezi moja ,kama siyo akili ya matope ni nini?
Lowasa alisemaga elimu, elimu, elimu. Yaani wenzio wapo wanangea lingine ww unaongea lingine πππMkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba
Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya
Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Mkwepa kodi mwandamizi ameshawalegeza na hivyo tena wazee wa Saigon wako sebuleni tutegemee Ligi hii kuvurugwa ili Utopolo wawe mabingwa kwa mlango wa nyumaKwa hili TFF na bodi ya ligi wameonesha ujinga wao haki ya Mungu
Huyo kiazi haelewi hata mada ni niniAnayetoa pesa ya kununua jezi ni yule aliyeingia mkataba na klabu husika kufanya shughuli ya kusupply kits, mfano kwa Simba ni vunjabei na yanga ni GSM ..
Etihadi au Fly emirates ni wazanimi wa timu na siyo wasambaza vifaa vya timu kama jezi mfano Adidas, Umbro, Nike, Puma huwezi ukakuta timu 1 inawazamini wawili wa aina mojaMkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba...
Sema FIFA si ipo hahaha unadhani watu ni wajinga hawa utopolo tuwaambie tu mapema huyu GSM anaweza akawashusha daraja kwa huu undava wake.Mkwepa kodi mwandamizi ameshawalegeza na hivyo tena wazee wa Saigon wako sebuleni tutegemee Ligi hii kuvurugwa ili Utopolo wawe mabingwa kwa mlango wa nyuma
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sawa KabwiliMtavaa hamvai? Gsm kama maji tu usipokunywa utaoga
Wanasimba tusipo kuwa makini huu mtego ipo siku.GSM ataenda CAS kushitaki Simba waliweka nembo yake kwenye jezi yao.Anataka fidia ya bilioni 50 Bongo nyoso hii.Sema FIFA si ipo hahaha unadhani watu ni wajinga hawa utopolo tuwaambie tu mapema huyu GSM anaweza akawashusha daraja kwa huu undava wake. Kina bakhresa wana pesa zaidi yake na timu zao ila hawana hz rafu na anadhani dewj ni msengerema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa hawajui sheria tutawajuza km kwa MORRISON ilivyokua
Hahahah simba ina watu makini mzeee na rafu zake watakao umia ni utopolo maana wakubwa kule FIFA wao ni kuamua tu tena kwa kufuata sheria zao. Acha afanye ajuavyo.ila wakumbuke tu dewj sio msengerema he is genius zaidi yao.Wanasimba tusipo kuwa makini huu mtego ipo siku.GSM ataenda CAS kushitaki Simba waliweka nembo yake kwenye jezi yao.Anataka fidia ya bilioni 50 Bongo nyoso hii.
anachoshauri hapo ni kuwa uache ushoga.Kwahiyo unashauri nini?
Mimi naona wanayanga wote ni MAKABWILI.Mbona kama ile kauli ya manara kuwa wanayanga hawana akili isipokuwa jk na baba yake ni sahihi kwa huu uharo ulio andika hapa