Simba wapo sahihi kukataa nembo ya GSM

Simba wapo sahihi kukataa nembo ya GSM

Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba

Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya

Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Kalagabaho.
Kukaa kimya pia ni busara kuliko kusema usiyoyajua.[emoji196][emoji196][emoji196]
 
Mbona simple tu MO na Vunja bei wapeleke ombi TFF la kudhamini ligi kuu.Ili Yanga nao wavae nembo original ya MO na Vunja bei.
Suala siyo kudhamini tu, hapo unaongelea biashara ya watu.
 
Mbona kama ile kauli ya manara kuwa wanayanga hawana akili isipokuwa jk na baba yake ni sahihi kwa huu uharo ulio andika hapa
Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba

Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya

Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
 
Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba

Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya

Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Hujaelewa hoja, Usikurupuke

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Vunja Bei ni kit supplier wa jezi za Simba ,GSM ni kit supplier wa Yanga . Halafu halafu nembo ya supplier wa Yanga ibandikwe kwenye Simba .

Yaani NIKE wabandikwe nembo ya Adidas na nembo zote mbili ziwe kwenye jezi moja ,kama siyo akili ya matope ni nini?
Kwa hili TFF na bodi ya ligi wameonesha ujinga wao haki ya Mungu
 
Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba

Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya

Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Lowasa alisemaga elimu, elimu, elimu. Yaani wenzio wapo wanangea lingine ww unaongea lingine 😂😂😂
 
Mtavaa hamvai? Gsm kama maji tu usipokunywa utaoga
 
Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba...
Etihadi au Fly emirates ni wazanimi wa timu na siyo wasambaza vifaa vya timu kama jezi mfano Adidas, Umbro, Nike, Puma huwezi ukakuta timu 1 inawazamini wawili wa aina moja
 
Mkwepa kodi mwandamizi ameshawalegeza na hivyo tena wazee wa Saigon wako sebuleni tutegemee Ligi hii kuvurugwa ili Utopolo wawe mabingwa kwa mlango wa nyuma

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sema FIFA si ipo hahaha unadhani watu ni wajinga hawa utopolo tuwaambie tu mapema huyu GSM anaweza akawashusha daraja kwa huu undava wake.

Kina bakhresa wana pesa zaidi yake na timu zao ila hawana hz rafu na anadhani dewj ni msengerema 😂😂😂😂 hawa hawajui sheria tutawajuza km kwa MORRISON ilivyokua
 
TFF wanatakiwa kujibu hii barua kwa umakini sana. Kimeumana mazima
IMG-20211207-WA0019.jpg
 
Sema FIFA si ipo hahaha unadhani watu ni wajinga hawa utopolo tuwaambie tu mapema huyu GSM anaweza akawashusha daraja kwa huu undava wake. Kina bakhresa wana pesa zaidi yake na timu zao ila hawana hz rafu na anadhani dewj ni msengerema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa hawajui sheria tutawajuza km kwa MORRISON ilivyokua
Wanasimba tusipo kuwa makini huu mtego ipo siku.GSM ataenda CAS kushitaki Simba waliweka nembo yake kwenye jezi yao.Anataka fidia ya bilioni 50 Bongo nyoso hii.
 
Wanasimba tusipo kuwa makini huu mtego ipo siku.GSM ataenda CAS kushitaki Simba waliweka nembo yake kwenye jezi yao.Anataka fidia ya bilioni 50 Bongo nyoso hii.
Hahahah simba ina watu makini mzeee na rafu zake watakao umia ni utopolo maana wakubwa kule FIFA wao ni kuamua tu tena kwa kufuata sheria zao. Acha afanye ajuavyo.ila wakumbuke tu dewj sio msengerema he is genius zaidi yao.
 
Back
Top Bottom