Kalagabaho.Mkuu mbona nembo ya "Sport Pesa" ipo kwenye jezi zote mbili za Yanga na Simba
Au nembo ya "Fly Emirate" au "Etihad" ipo kwenye jezi nyingi za timu za ulaya
Acheni ramli chonganishi, cha muhimu klabu zipige pesa ili zijiendeshe vizuri. ova.
Kukaa kimya pia ni busara kuliko kusema usiyoyajua.[emoji196][emoji196][emoji196]