SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hoja yangu ni kuwa Bayern Munich wamemuuza kwa hasara na hajatumikia club kwa mkataba wake. Wewe unadhani ingekuwa huku kwetu tungeweza kumuuza mchezaji kwa hasara ambaye bado yuko kwenye ubora wake kisa kocha anasema hayupo kwenye mipango yake au amegombana na mchezaji mwingine? Unajua yanayoendelea huko makambini kwa timu zetu na bado tunabaki na wachezaji?Nope Mane moja ya sababu iliyo mfanywa aachwe ,hayupo kwenye mpango wa kocha na pili ule ugomvi wake na Sane umechangia jamaa kuwekwa sokoni na bado huko alipo enda kabla hajasajiliwa kapimwa afya full body checkup na ndio maana kasaini mkataba na timu yake mpya.
Hicho ulicho kizungumza kipo hata kwa Jack Wilshare alivyo rudi Arsenal waliingia Contract, ila walikuwa wanamtizama utimamu wake wa kimwili,then ndio waingie full contract na mchezaji.
Ila huku kwetu sisi hatuna hii na ndio maana timu zetu kupitia wahuni wa hizi club wanatupiga kila siku,kwa kutuletea vimeo.
Nwankwo Kanu alifanyiwa surgery ya moyo ambayo madaktari walimwambia career yake imekwisha ila alirudi Inter baadaye akaenda Arsenal na aliendelea kuupiga mpira mwingi tu.
Afya ya mchezaji ni zaidi ya hiyo checkup wakati wa usajili. Mbona Simba ya msimu uliopita watu walikuwa wanalalamika wachezaji hawakuwa fiti sana, wewe unadhani ni kwa sababu ya checkup ya mwanzoni mwa msimu? Si watu walikuwa wanasema fitness coach hatoshi?