Simba warudia tena kosa lingine kwenye usajili

Hoja yangu ni kuwa Bayern Munich wamemuuza kwa hasara na hajatumikia club kwa mkataba wake. Wewe unadhani ingekuwa huku kwetu tungeweza kumuuza mchezaji kwa hasara ambaye bado yuko kwenye ubora wake kisa kocha anasema hayupo kwenye mipango yake au amegombana na mchezaji mwingine? Unajua yanayoendelea huko makambini kwa timu zetu na bado tunabaki na wachezaji?

Nwankwo Kanu alifanyiwa surgery ya moyo ambayo madaktari walimwambia career yake imekwisha ila alirudi Inter baadaye akaenda Arsenal na aliendelea kuupiga mpira mwingi tu.

Afya ya mchezaji ni zaidi ya hiyo checkup wakati wa usajili. Mbona Simba ya msimu uliopita watu walikuwa wanalalamika wachezaji hawakuwa fiti sana, wewe unadhani ni kwa sababu ya checkup ya mwanzoni mwa msimu? Si watu walikuwa wanasema fitness coach hatoshi?
 
Maelezo yote hayo uliyoyacopy yanahusu kucheki historia ya nyuma ya afya ya mchezaji ambayo iko katika makaratasi. Kitu pekee hapo walichosema kinachohusiana na hizo mashine zinazokuogopesha ni "The subjective examination is followed by a thorough physical examination of all muscles and joints". Sasa hilo ni la kupeleka wachezaji South Africa?

Point yangu ya msingi ni kuwa ushauri wako ungejikita kuhimiza uanzishwaji na uboreshaji wa vituo vya afya vya michezo. Ila kumbuka hata vikiwepo, biashara ya mpira inahusisha kutake risk hata kwa wachezaji wenye historia za majeraha, timu huwa zinafanya tathmini tu kujua kama waendelee naye. Wewe unataka mchezaji yoyote mwenye historia ya majeraha asisajiliwe.

Soma hapa:
If a problem arises, it may be necessary to refer the player on to a consultant, who can assess the player and advise the buying club on his medical status and prognosis
 
Nope kwanza ulaya hawarisk ,mpaka umemuona Nwanko Kanu kacheza wataalamu walishatoa go ahead kwamba huyu ana utimamu wa kuendelea kucheza.

Kun Aguero na Barca,Fabrice Muamba na Spurs,hawa unazani kwa nini hawa kurudi?

Ukimuona mchezaji kaumia then anacheza hiyo club kaa ukijua kuna makubaliano maalum kati ya huyo mchezaji na club mfano Arsenal na Wilshare (Wilshare hakuwa na tatizo moyo bali goti). Ila kwa maswala ya moyo kama critical, huruhusiwi kucheza kwenye ligi yoyote ulaya. Ukiona mchezaji Ericksen Man Utd,Kanu Arsenal wale una waona wanacheza sababu tayari wataalam wamecheki na kujirizisha ,wanaweza kucheza mpira bila tatizo lolote.

Utimamu wa mwili unaweza ukakuta mchezaji hana tatizo la kiafya, ila hana mazoezi ya kutosha so kocha wa viungo ndio inakuwa kazi yake ya kujenga utimamu wa mwili na utimamu wa kiafya huchekiwa na daktari. Wenzetu ulaya wana mpaka wana saikolojia wa club kwa ajili ya kujenga utimamu wa akili ya mchezaji, bongo sijui kama tunao.

Na unaweza ukawa na utimamu wa mwili (mazoezi),ila kiafya ukawa haupo vizuri, Fabrice Muamba alikuwa mtu kweli kweli,kwa nje alikuwa physically fit ila kumbe anatatizo la moyo.
 



Na hao ni AZAM na wana hela zao. Yaani unasema kabisa kupima presha na uzito hakuna maana kwenye afya ya mchezaji? Nadhani ungeuliza kama wanapima misuli na viungo, na naamini vifaa vipo ila labda siyo kwa wingi ila kusema tu kiujumla kuwa kinachofanyika hakina maana unakosea
 
Naona sasa unazungukazunguka tu sijui hata hoja yako iko wapi
 
Kwa mchezaji mpya hakuna maana.

Sasa kwa mchezaji ambayo ana tatizo sugu la goti na misuli ,ambayo humjui hujui history yake unataka kumsajili,utampima kwa style hiyo?

Mimi point yangu ni kwa wachezaji wapya tusio wajua tunao wataka kuwasaili,kwani mwisho wa siku club ndizo zina ingia hasara. Huyo kipa wa Simba,sasa hivi unazani Simba watakuwa na hali gani,maana itawalazimu wavunje mkataba.
 
Kwani Sawadogo uliyemtolea mfano, historia yake ilikuwa haijulikani wakati Simba inamsajili? Na kama ulikuwa una maana ya wachezaji wapya, mbona uliweka picha ya Kapombe ukabeza zoezi lililokuwa linafanyika?

Na unaposema kumpima mchezaji mpya uzito na pressure hakuna maana kunanifanya nitamani kumaliza huu mjadala na wewe.
 
Kwa kilicho tokea kwa Sawadogo bila shaka medical history yake ilikuwa haifahamiki na ndio maana alikuwa hachezi mara kwa mara.

Sababu hiyo picha ndiyo niliyo ipata na wote walifanyiwa kwa style hiyo. So kwa hiyo unacho maanaisha hao wapya hawa kufanyiwa full check up?

So kuhusu kumaiza mjadala unaweza ukaacha au ukaendelea nao kwani mimi nimezungumza kitu general kinacho gusa timu zote, ambacho kipo na kishawahi kutokea na kinaendelea kutokea hata misimu mengine ijayo.
 
SIMBA NA MAWINGA TISA 2020 MAWINGA TISA

Katika kikosi cha Simba msimu uliopita ukiachana na Luis Miquissone na Chama ambao wameuzwa, wamebaki wachezaji wengine watano ambao wanacheza katika nafasi ya winga.

Wachezaji hao watano ambao msimu uliopita walicheza kama mawinga walikuwa Perfect Chikwende, Morrison,

Dilunga, Bwalya na Ajibu ambaye alijiondoa katika kikosi kabla ya kumaliza mechi za msimu na sasa yupo kamili.

Katika dirisha hili la usajili ambalo linaelekea ukingoni wamesajiliwa wachezaji wanne ambao wanaweza kucheza kama mawinga, na kati yao lazima wawili watacheza na wengine watakuwa benchi.

Mawinga ambao wamesajiliwa dirisha hili na itakuwa sio rahisi kwao kucheza kikosi cha kwanza iwapo hawatakaza msuli ni Peter Banda, Pape Sakho, Duncan Nyoni na Yusuph Mhilu. Kutokana na hali hiyo ni wazi usajili wa mawinga wanne na wale watano ambao walimaliza na kikosi msimu uliopita kuna wapya kwenye mechi nyingi wataishia benchi au kukaa jukwaani.
 




Haya, tuonyeshe wachezaji wa Yanga, wapya au wa zamani wakipimwa hata uzito
 
Hapo Kapombe anapimwa Safura au kichocho [emoji23][emoji23]

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Simba Wamesajili kwa KUKURUPUKA na MIHEMUKO.

Wamesajili kwa LENGO la kuwafurahisha Mashabiki.

Simba hawana Beki
Hawana kiungo mkabaji.

WANARUDIA MAKOSA Kila wakati.
Mwaka 2020 walikuwa na mawinga 11.
1. Perfect CHIKWENDE.
2. BENARD MORISON.
3. Dunkan Nyoni.
4. Pape sakho.
6 peter Banda.
7. Hassan Dilunga.
8. Ibrahim Ajibu.
9. Hassan Dilunga.
10. Muhilu.

MWAKA 2023 WANARUDIA YALE YALE.

1. KIBU Denis.
2.Saido ntibazonkiza.7 to 10.
3 CLOTUS chama 10 to 11.
4. Essomba Onana.
5. Aubin Kramo.
6.jimyson mwinuke.
7. Luis Miguisson

( Peter Banda )

ALEX FERGASON KOCHA BORA WA DUNIA ANASEMA.

"Safu Bora ya ushambuliaji itafunga MAGOLi. Safu Bora ya ulinzi itakupa Mataji.".

MSIMU uliopita Simba Alikuwa na MAGOLi zaidi ya 100.
Mataji 0.

LIGI KUU 75.
CAF CL.
AZAM FC

WAMECHAGUA MAGOLI NA SI MATAJI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…