Simba washusha viingilio Mechi na Asec Jumamosi

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Rais wa Heshima wa klabu ya Simba Mohamed Dewij ameshusha viingilio vya mzunguko toka sh.5000 Hadi 3000 Kwa tiketi. Mheshimiwa Mo amesema amelazimika kufanya hivyo Kwa kuheshimu nafasi ya mashabiki kama nguzo muhimu kwenye timu. Mwisho wa kunukuu.

Haya ni mapenzi Makubwa aliyoyaohyesha Rais Kwa mashabiki hivyo tumuunge mkono Kwa kwenda Kwa wingi uwanja wa Mkapa tarehe 25.11.2023.

Screenshot_2023-11-23-13-37-55-627_com.twitter.android.jpg
 
Ni ukosefu tu wa akili wa viongozi wa Simba.

Walitakiwa wawe walishafikiria hili jambo kutokana na mwenendo wa timu. Sio kushusha viingilio, mashabiki wengi wataingia BURE.

Mechi imekosa hamasa kuanzia uwanjani mpka nje ya uwanja.
 
Pili, Mo lazima 'Iaminishwe' amefanya hilo kutokana na sakata la matangazo ya kampuni zake pasi na kuwekwa wazi mikataba.

Ujinga mwingi sana kutoka kwa viongozi wa Simba pamoja na machawa wao.
 
Rais wa Heshima wa klabu ya Simba Mohamed Dewij ameshusha viingilio vya mzunguko toka sh.5000 Hadi 3000 Kwa tiketi. Mheshimiwa Mo amesema amelazimika kufanya hivyo Kwa kuheshimu nafasi ya mashabiki kama nguzo muhimu kwenye timu. Mwisho wa kunukuu.

Haya ni mapenzi Makubwa aliyoyaohyesha Rais Kwa mashabiki hivyo tumuunge mkono Kwa kwenda Kwa wingi uwanja wa Mkapa tarehe 25.11.2023.

View attachment 2822413
Kihasibu hii imekaaje? Ni dalili ya nini?

Tafadhali naomba majibu ya kitaalam kutoka kwa yule Mwasibu wenu wa Kimataifa.
 
Rais wa Heshima wa klabu ya Simba Mohamed Dewij ameshusha viingilio vya mzunguko toka sh.5000 Hadi 3000 Kwa tiketi. Mheshimiwa Mo amesema amelazimika kufanya hivyo Kwa kuheshimu nafasi ya mashabiki kama nguzo muhimu kwenye timu. Mwisho wa kunukuu.

Haya ni mapenzi Makubwa aliyoyaohyesha Rais Kwa mashabiki hivyo tumuunge mkono Kwa kwenda Kwa wingi uwanja wa Mkapa tarehe 25.11.2023.

View attachment 2822413
Ili kuwafariji mashabiki wao kwa kipigo cha 5:1 wangeruhusu mashabiki waingie bure uwanjani.
 
Mo alitamani sana waingie bure sema anaona wapo watakaohoji ila kwa mazingira ya hii mechi kama kiingilio kingebaki juu wachache wangeenda Uwanjani maana hata kocha hawana harafu Timu icheze chini ya Matola na kocha wa Makipa mechi ya kimataifa wana utani sana Simba aisee..
 
Back
Top Bottom