Simba wasicheze mechi leo, kufanya hivyo itakuwa kubariki vitendo vya Yanga

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa.

Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena.

Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga.

Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
 
Sawa
JamiiForums677205574.jpg
 
😂😂😂😂 wametia mpira kwapani!!
 
CCM Ndio inapenda vijana Wa Tanganyika waweke nguvu zao huko kwenye simba Na YANGA".

Great thinker
 
Soka la bongo limejaa uhuni,simba wasicheze wawaachie ligi yao
 
Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa.

Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena.

Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga.

Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
Waende cas kuipinga kwa kanuni na Sheria zipi zipo caf na fifa zinazosema timu ukizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho awatakiwi kucheza mechi wagome?
 
Timu ina haki ya kupata nafasi ya kujiandaa kabla ya mchezo. Hivyo kunyimwa hiyo fursa ni sawa na kumkataza mhusika kushiriki mchezo.

Maamuzi yoyote dhidi yake yatakuwa batili kwani yeye sio aliyepelekea kushindwa kushiriki mchezo.

Yanga na TFF wameshaiharibu ligi kama wasipotumia busara kutatua hili maana huko mbeleni yataibuka madudu mengi mno na mpira wa bongo utashuka thamani yake.
 
Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa.

Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena.

Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga.

Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
Weka ushahidi hapa wa kuonesha Yanga wamewazuia Simba kufanya mazoezi.
 
Timu ina haki ya kupata nafasi ya kujiandaa kabla ya mchezo. Hivyo kunyimwa hiyo fursa ni sawa na kumkataza mhusika kushiriki mchezo.

Maamuzi yoyote dhidi yake yatakuwa batili kwani yeye sio aliyepelekea kushindwa kushiriki mchezo.

Yanga na TFF wameshaiharibu ligi kama wasipotumia busara kutatua hili maana huko mbeleni yataibuka madudu mengi mno na mpira wa bongo utashuka thamani yake.
Sawa timu Ina haki na adhabu zake zipo kikanuni na sio kugomea mechi
 
Kugomea mechi ni sahihi kwakuwa hukupewa fursa sawa ya kujiandaa kama mpinzani wako.
 
Basi jiandaeni kisaikolojia akuna sababu za msingi hapo za kugomea mechi Sheria itafata mkondo wake
 
Back
Top Bottom