Waende cas kuipinga kwa kanuni na Sheria zipi zipo caf na fifa zinazosema timu ukizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho awatakiwi kucheza mechi wagome?Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa.
Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena.
Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga.
Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
Timu ina haki ya kupata nafasi ya kujiandaa kabla ya mchezo. Hivyo kunyimwa hiyo fursa ni sawa na kumkataza mhusika kushiriki mchezo.Waende cas kuipinga kwa kanuni na Sheria zipi zipo caf na fifa zinazosema timu ukizuiwa kufanya mazoezi ya mwisho awatakiwi kucheza mechi wagome?
Weka ushahidi hapa wa kuonesha Yanga wamewazuia Simba kufanya mazoezi.Yanga kuwazuia Simba kufanya mazoezi sio kitendo cha kimichezo kabisa.
Simba wasiende uwanjani leo, wakifanya hivyo ni kubariki huo uovu. Yanga watarudia tena na tena.
Simba wakubali adhabu yeyote itayotolewa na TFF na waende CAS kuipinga.
Ila mechi ya leo wasicheze kabisa.
Sawa timu Ina haki na adhabu zake zipo kikanuni na sio kugomea mechiTimu ina haki ya kupata nafasi ya kujiandaa kabla ya mchezo. Hivyo kunyimwa hiyo fursa ni sawa na kumkataza mhusika kushiriki mchezo.
Maamuzi yoyote dhidi yake yatakuwa batili kwani yeye sio aliyepelekea kushindwa kushiriki mchezo.
Yanga na TFF wameshaiharibu ligi kama wasipotumia busara kutatua hili maana huko mbeleni yataibuka madudu mengi mno na mpira wa bongo utashuka thamani yake.
Basi jiandaeni kisaikolojia akuna sababu za msingi hapo za kugomea mechi Sheria itafata mkondo wakeKugomea mechi ni sahihi kwakuwa hukupewa fursa sawa ya kujiandaa kama mpinzani wako.
Safi sana ππππ«‘
Ambazo ndo alizozitaka iwe jua au mvua hata kuvunja kanuni na kuzuia haki za mazoezi za Simba.Wasipocheza Yanga anachukua pointi 3