Simba wasikilize mashabiki bila hivo nendeni uwanjani wenyewe

Mbu3 umeongea kiuchungu sana,kaa kwa kutulia halafu utueleze shida ni mazoezi ya wazi,mzungu,matola au kocha maana umepandikiza vitu kibao 😂
 
Kama Yanga anafungwa na timu za hovyo, basi hata Simba anafungwa na timu za hovyo.

Kwa game ya leo, Kocha Zoran ndo Kiini cha matokeo.
Bado sijaelewa, sijui kocha hajaijua first eleven yake, naona kama anabahatisha kwenye maamuzi yake.
 
Yanga bado ni timu mbovu tuu. Sioni kama kuna kitu kikubwa wanacho kuliko simba
Na mtaendelea kuchezea kichapo mpaka akili ziwakae sawa Kama akili zenu ndo hizi mpaka siku mtakapokubali kuwa kwasasa mnazidiwa ubora na yanga kwa mbali Sana, Mtatubu bila kupenda dadadeki!
 
Ikibidi tugomee kununua jezi, kulipa Simba app na kwenda uwanjani labda watabadilika hii mbinu walitumia mashabiki wa ac Milan kipindi mmiliki wake ni waziri mkuu wa Italy walimwambia asiponunua mastaa hawaingii uwanjani
 
yule kocha wetu anakung'utwa,kwanza kocha gani hana kisogo,alafu anatembea kama hana kiuno mbwa yule.
huyu kocha huyu,hivi Corona iliendaga wapi?.
 
Ikibidi tugomee kununua jezi, kulipa Simba app na kwenda uwanjani labda watabadilika hii mbinu walitumia mashabiki wa ac Milan kipindi mmiliki wake ni waziri mkuu wa Italy walimwambia asiponunua mastaa hawaingii uwanjani
Jezi zenyewe vunja bei anacheza dili ,dukani unaambiwa hamna ila hapo hapo nje inauzwa sh 100,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…