1. Matola atoke hapo benchi apewe hata timu ya vijana.
2. Mashabiki walishashauri Simba waache mazoezi ya wazi, mnajifanya modern football ,mwenzako anasoma mbinu yako ya mchezo we humsomi. Yanga wanafungwa na timu za hovyo za kimataifa maana hawaoni mbinu zao lakini kwetu sisi ni draw na kipondo. Mtu haogopi faini anaruka ukuta kila mwaka na kuingia mlango wa nyuma ataogopa kukuloga?.
Sometimes unajiuliza huyu kocha hajalogwa hadi analeta kikosi cha ajabu?
3. Foward Phiri hatoshi ongezeni Manzoki huyo mzungu kabla ya kumfukuza mwekeni kwanza sero siku 3 kwa aibu aliyotutia.
4. Huyo Zohan aangaliwe vizuri mechi ya kwanza ya ligi na Geita Gold draw ikitokea tusionane wabaya.
N:B mnatuvunja moyo mashabiki ,jezi kwanza hamjatuomba msamaha na tunaanzaa msimu bila kikombe na pre season mnafanyia uturuki.
Unampangaje Mwenda acheze dk zote hata kupiga cross ni shida na umemwacha Kapombe nje? Unamtoa Chama ukidhani umemaliza mchezo unamleta Mzamiru.
Mfungwe tu akili ziwakae sawa.