Simba wasipo jirekebisha wanachpwa tena

Simba wasipo jirekebisha wanachpwa tena

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Nime angalia mechi walio cheza Jana na Azam, Simba bado wana tatizo lilelile hawajajirekebisha, mimi sio mtaalamu wa mchezo wa mpira lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida Simba inakosa mbinu inayofaa katika ushambuliaji, ushambuliaji wao hauna nguvu ya kuzalisha magoli kama ikivyo kwa wapinzani wao.

Simba wasipo badilika hiyo trh 25 wanachapwa tena.

sipendi Mnyama aadhirike tena.
 
Yani umeangalia mechi ya kikosi cha tatu umeandika na uzi ..
Acha uongo basi! Simba haina kikosi cha tatu!! Simba inajisifia kuwa na kikosi kipana. Sasa tunasubiri tena hiyo tarehe 25 muanzishe wachezaji wenu wote wa kikosi kipana, akiwemo yule mvuta bangi wenu Morrison!

Ila mwisho wa siku, kipigo kiko pale pale!! Hakuna cha Wallace Karia au Bodi ya Ligi watakao waokoa na kichapo kwa kuahirisha tena mechi!!
 
Poa acha tuone ..
 
Nime angalia mechi walio cheza Jana na Azam, Simba bado wana tatizo lilelile hawajajirekebisha, mimi sio mtaalamu wa mchezo wa mpira lkn kwa mtazamo wangu wa kawaida Simba inakosa mbinu inayo faa ktk ushambuliaji, ushambuliaji wao hauna nguvu ya kuzalisha magoli kama ikivyo kwa wapinzani wao.
Simba wasipo badilika hiyo trh 25 wanachapwa tena.
sipendi Mnyama aadhirike tena.
Mkuu unaweza kuwa upo sawa, Lakini je umetazama takwimu za mabao ya timu zote kwenye msimamo wa ligi?
Kama umetazama utaona kuwa Simba inawaacha wapinzani wake kwa mbali sana kwa wingi wa mabao!
Kwenye mechi ya jana Simba ilichanganya wachezaji wachache wa kikosi cha kwanza na wengi wa kikosi cha pili, na hivyo timu ilikosa muunganiko mzuri hasa kwa kipindi cha kwanza japo kuingia kwa NYONI na BWALYA kulibadili sura ya mchezo. Na ninadhani kocha alifanya hivyo makusudi kutopanga kikosi cha kwanza ili kutoa nafasi ya mapumziko kwa nyota wengi wa kikosi cha kwanza , lakini pia kutoa nafasi kwa wachezaji wa benchi kupunguza vitambi kwakuwa kama ni ubingwa tushabeba!
Kwenye mechi na Yanga , Simba ilikuwa na kasoro 3 za kiufundi, Kwanza waliingia kwa kujiamini sana kuwa walikuwa na asiklimia kubwa sana ya kushinda katika mchezo ule, wakasahau kuwa wapinzani wao nao wameshawapania!
Pili Simba waliingiza kikosi kwa kuanza mabeki wengi badala ya kunoa foward, washinde kwanza ndio wazuie kulinda ushindi. Matokeo yake timu ilishindwa kupandisha mashambulizi mbele na kujikuta wakishambuliwa wao mfululizo hadi mashambulizi hayo yakazaa goli!
Washambuliaji walikosa utulivu kila walipofika langoni mwa wapinzani wao, mfano ni mashuti manne yaliyopigwa ndani ya 18 na wachezaji Medie Kagere, Luis Mikison na John Bocco!
Kama foward ingekuwa na utulivu walikuwa wa kushinda mchezo ule achilia mbali mauzauza ya marefa kuwanyima penati mbili za wazi!
 
Kama tarehe 8,aliukimbia uwanja kwa hofu,tarehe 3,wakapigwa,tarehe 25,kuna mambo mawili ya kuwasaidia ama waukimbie uwanja tena,ama wakubalikufungwa.
Na hawa mbumbumbu wakiingia na biriani lao uwanjani, haki ya nani kila mtu atarudi jijini kwa kutumia njia yake! Ujanja wao wote ni pale kwa Mkapa!

Kwenye viwanja vibovu, Yanga ina faida zaidi kutokana na aina ya wachezaji walio nao, lakini pia aina ya mipira mirefu wanayopenda kucheza wawapo uwanjani.
 
Mkuu unaweza kuwa upo sawa, Lakini je umetazama takwimu za mabao ya timu zote kwenye msimamo wa ligi?
Kama umetazama utaona kuwa Simba inawaacha wapinzani wake kwa mbali sana kwa wingi wa mabao!
Kwenye mechi ya jana Simba ilichanganya wachezaji wachache wa kikosi cha kwanza na wengi wa kikosi cha pili, na hivyo timu ilikosa muunganiko mzuri hasa kwa kipindi cha kwanza japo kuingia kwa NYONI na BWALYA kulibadili sura ya mchezo. Na ninadhani kocha alifanya hivyo makusudi kutopanga kikosi cha kwanza ili kutoa nafasi ya mapumziko kwa nyota wengi wa kikosi cha kwanza , lakini pia kutoa nafasi kwa wachezaji wa benchi kupunguza vitambi kwakuwa kama ni ubingwa tushabeba!
Kwenye mechi na Yanga , Simba ilikuwa na kasoro 3 za kiufundi, Kwanza waliingia kwa kujiamini sana kuwa walikuwa na asiklimia kubwa sana ya kushinda katika mchezo ule, wakasahau kuwa wapinzani wao nao wameshawapania!
Pili Simba waliingiza kikosi kwa kuanza mabeki wengi badala ya kunoa foward, washinde kwanza ndio wazuie kulinda ushindi. Matokeo yake timu ilishindwa kupandisha mashambulizi mbele na kujikuta wakishambuliwa wao mfululizo hadi mashambulizi hayo yakazaa goli!
Washambuliaji walikosa utulivu kila walipofika langoni mwa wapinzani wao, mfano ni mashuti manne yaliyopigwa ndani ya 18 na wachezaji Medie Kagere, Luis Mikison na John Bocco!
Kama foward ingekuwa na utulivu walikuwa wa kushinda mchezo ule achilia mbali mauzauza ya marefa kuwanyima penati mbili za wazi!
Usiucheze mpira wa 25 mtandaoni tuucheze uwanjani,simulizi ya mechi iliyopita tuiache,ilete timu tukutane uwanjani.
 
Na hawa mbumbumbu wakiingia na biriani lao uwanjani, haki ya nani kila mtu atarudi jijini kwa kutumia njia yake! Ujanja wao wote ni pale kwa Mkapa!

Kwenye viwanja vibovu, Yanga ina faida zaidi kutokana na aina ya wachezaji walio nao, lakini pia aina ya mipira mirefu wanayopenda kucheza wawapo uwanjani.
Wasikimbie tu.
 
Simba hawana pressing yenye nguvu na kuzalisha bao
Timu kama simba inakosa open chance inayo muwezesha mchezaji ku score...anakosa anabaki kupanua mdomo na kushika kichwa!! zaidi hata ya mara tatu!! aghhh!
 
Umesema Simba haina mbinu ya ushambuliaji .
Okay Sawa Kwani Ni timu Gani inaongoza kufunga magoli mengi kwenye ligi?
tatizo sio tu kuwa na idadi ya magoli au kufunga ila pia ni muhimu kuangalia ubora wa magoli waliyo funga, timu kubwa kama simba unafunga goli kama la mchezaji wa Ihefu kweli!!
 
Simba ni timu kubwa na bora hivyo kila wakati inapo cheza ni lazima ithibitishe ubora wake huo, sio maji kupwa.....maji kujaaa!
 
unakuwaje na wachezaji wengi bora na wenye viwango halafu bado hawako organized?
 
Aliangalia na ya kikosi cha kwanza hapo tarehe 3 pia na hicho ndicho kilichosababisha aandike!
Mnafurahisha sana, eti simba haina mbinu ya ushambuliaji yenye kuzalisha magoli. Hapo hapo Simba hiyo hiyo ndo inaongoza kwa kufunga magoli mengi ligi kuu ..
 
Back
Top Bottom