Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wanakuambia Sio maandalizi hayo ni mashindano makubwa sana Kwa Yanga [emoji1787][emoji1787]Mapinduzi cup si sehemu ya maandalizi au
Kuna ulazima wowote wa kucheza mzeee?Hata kagame cup simba waliigomea kwa kisingizio cha kuwahi pre season morroco..
Wrong strategies kabisa.
kwanini wasishiriki michuano hii kwa kutumia sehemu ya kikosi kilichopata nafasi ya kucheza muda mwingi?
Sasa naanza kushawishika na wasemao; Simba ina kikosi kipana kwa nadharia.
Kuna wachezaji wapo simba hapo hawapati nafasi ya kucheza, akiwemo yusuf mhilu.
Jukwaa lao lilikuwa ni hili..yule dogo kiberenge Rashid Juma ni zao la michuano hii.
Timu za ushindani zinatakiwa angalau zicheze mechi 50 per season..
Hahaaa wanawakimbia Yanga, wameishanusa harufu ya kipigoWanakuambia Sio maandalizi hayo ni mashindano makubwa sana Kwa Yanga [emoji1787][emoji1787]
Je wajua kua timu ya Tanzania ikicheza mechi zote za ligi kuu (30), mapinduzi (mechi >3 mpaka kufika robo), azam confederation (mechi >3 mpaka kufika nusu), caf league (mechi >10 mpaka kuvuka makundi) hafikishi 50??Hata kagame cup simba waliigomea kwa kisingizio cha kuwahi pre season morroco..
Wrong strategies kabisa.
kwanini wasishiriki michuano hii kwa kutumia sehemu ya kikosi kilichopata nafasi ya kucheza muda mwingi?
Sasa naanza kushawishika na wasemao; Simba ina kikosi kipana kwa nadharia.
Kuna wachezaji wapo simba hapo hawapati nafasi ya kucheza, akiwemo yusuf mhilu.
Jukwaa lao lilikuwa ni hili..yule dogo kiberenge Rashid Juma ni zao la michuano hii.
Timu za ushindani zinatakiwa angalau zicheze mechi 50 per season..
Kidogo una point hapoJe wajua kua timu ya Tanzania ikicheza mechi zote za ligi kuu (30), mapinduzi (mechi >3 mpaka kufika robo), azam confederation (mechi >3 mpaka kufika nusu), caf league (mechi >10 mpaka kuvuka makundi) hafikishi 50??
Point yangu ni hii: Ishu sio kufikisha mechi 50 ishu ni kufika angalau nusu fainali kila mchuano unaoshiriki ndio ufike izo 50. Simba anaweza hasicheze iyo mapinduzi na akafikisha mechi 50 hizo unazozisemea kama tu akifika fainali caf na azam confederations cup (Ambayo ndio malengo ya Simba).
KUPANGIANA TARATIBU NA UENDESHAJI WA TIMU UMEANZA LINI? MIND YOUR OWN BUSINESS!Hapy Birthday Tanganyika.
Simba Mmejitoa kushiriki Mashindano ya Mapinduzi Kisa maandalizi ya Caf Champion League
Sasa Kimbieni Tu, bdo kuwa Co Sponsor wa Caf na Pia Kuwa Co. Sponsor Wa Kombe La Azam Cup Federation.
Sasa Sjui mtasema mmetingwa na Nini [emoji23][emoji23]
Unasuusa Suuuusaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037869