Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

Simba wasusia kushiriki Mapinduzi Cup

Woga wako ndiyo umasikini wako.Wimbo wa Rose muhando,Simba kageuka kawa Panya kwa Paka,sababu zao hazina mashiko si wanadai Wana kikosi kipana leta timu ule kipigo Cha mbwa mwizi kudadeki.Lazima Nyama pori itafunwe na kunywewa supu
Unaelewa kutinga hatua ya makundi simba inakunja milupo mingapi?

Hapo unazungumzia kwenye M500 na usengee huko

Sasa imagine wachezaji wanapata injury kwenye kikombe cha m15, injury ambayo itawafanya wakose wachezaji muhimu kwenye mechi muhimu

Ni hesabu ndogo tu, nyinyi mnahaki ya kupambania kwasababu hamna pa kwenda
 
Ninyi mlipogomea Mapinduzi Cup ilikuwa mnaogopa au!?

Kunya anye Kuku akinya Bata kaharisha.
Kikosi kipana,lete timu acha uwoga.Hahahahahaaa huna hoja wewe umeogopa kipigo Cha mfululizo.Kwa Taarifa yenu Usajiri wa dirisha dogo ni hatariii,Chamaaaaaaaaaaa,Sure Boyyyyyy n.k ,saplize ya kufa mtu
 
Unaelewa kutinga hatua ya makundi simba inakunja milupo mingapi?

Hapo unazungumzia kwenye M500 na usengee huko

Sasa imagine wachezaji wanapata injury kwenye kikombe cha m15, injury ambayo itawafanya wakose wachezaji muhimu kwenye mechi muhimu

Ni hesabu ndogo tu, nyinyi mnahaki ya kupambania kwasababu hamna pa kwenda
Si una kikosi kipana,acha woga leta timu wewe.
 
Mwambieni Mo nae aweke hela,huyo tajiri wenu wa kwenye makaratasi .Raha ya utajiri tumia pesa tuone,huyo tajiri kanjanja,wewe uliona wapi tajiri anashinda mitandaoni kujibishana na watu mda huo anatoa.Nenda kaangalia wafanyakazi kwenye kampuni zake wanavyonyanyasika malipo duni na unyanyasaji mwingi si unajua wahindi walivyo.Watu wanafanyakazi kwa sababu ya shida na umasikini tu lakini wananung'unika balaaaa.Huyo muhindi hovyo kabisaaa Hana huruma hata kidogo
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Na tukifika robo fainali tunasusa mazima kucheza hata hii ligi kuu, tutaongea na CAF waangalie utaratibu wa kutupanga kwenye ligi yenye club zenye competitions za level zetu
Huna uwezo huo.Timu lenyewe tia maji tia maji.Unashangilia uku umeshika moyo.Subiri uone Jmosi kitakachokupata utajuta kuleta timu kwa Mkapa.Woga Bwana,ukapeleka barua yako bodi ya ligi ili mechi isogezwe mbele umekataliwa hahahaaaaa,lazima uliwe tena sana
 
Yanga baba lao,mtatukimbia sana kuanzia msimu huu mpaka misimu yote ijayo.Hela ipo Usajiri wa nguvu kila msimu kwa kila sehemu yenye udhaifu,kila mkikutana na Yanga ni kipigo mkinusurika mmetoa sare.Yanga ndiyo Baba yenu mpaka mtakoma
Sawa tumewakimbia.
Tatizo ninini sasa.
Nyi wenzetu mko juu sana kisoka barani Afrika.
Pongezi kwenu.
 
Huna uwezo huo.Timu lenyewe tia maji tia maji.Unashangilia uku umeshika moyo.Subiri uone Jmosi kitakachokupata utajuta kuleta timu kwa Mkapa.Woga Bwana,ukapeleka barua yako bodi ya ligi ili mechi isogezwe mbele umekataliwa hahahaaaaa,lazima uliwe tena sana
Kila mwana utopolo baada ya maneno mawili, latatu lazima lihusiane na tarehe 11 jumamosi.

Hii inaonesha kwamba ndio mkakati wenu mliojipanga kwa msimu huu, hakuna mwana uto ambaye unamkuta akizungumzia kuwekeza nguvu zaidi kwenye usajili ili wafanye vizuri club bingwa msimu ujao baada ya kuwa kubebwa tena na simba kwa mara nyingine

Sasa nimeanza kuelewa kwanini hamkumuuliza kitu hersi mlivyokosa ubingwa, na saizi mnarudia makosa yale yale ya kutaka ukae position moja na mimi kwa kudhani kunifunga kwako kutafanya uonekane bora kuliko mimi
 
Huko kwenye Shirikisho mechi zijazo mnakula kipigo hamvuki,nyie si mnadai mna kikosi kipana mnatakiwa mshiriki mashindano yoyote yaliyombele yenu lengo kuwapa nafasi wachezaji ambao hamuwatumii mfano Ajibu,Yusufu muhilu n.k ,Ndugu zangu mnaogopa kipigo Cha Yanga hahahaaaaa

Unajioni ni nani hasa wewe kupangia Watu cha kufanya?
Simba haipo Level tena za kushiriki mabonanza mdiyomana hata Kagame ikawaachia Utopolo.

Simba inatambua Makombe Matatu tu! CAF, NBC na FA.
 
Familia yenu Nzima au hata Kabila zima hakuna mwenye hata Nusu ya CV aliyonayo CEO wa Simba.

Sasa sijui Nyinyi nitakuwa ni Negetive Zero Brain 🤔
Kijana tafuta pesa, usilambe matak.o ya wafadhali
 
Pointless ,Woga tu wanaogopa kushindiliwa vitu vizito Yanga kawapania sana.Mayeleeeeeee hatariii huku saido,Kule Jesus Moloko,hapa Aucho,Pale Bangala ,kule Fei Toto Hahahahaaaaa hatariiiiiiii lazima wakimbie
Kesho mechi ya Simba Vs Yanga,sasa unaposema uwoga sijajua huo uwoga upi,labda ufafanue?
 
Huna uwezo huo.Timu lenyewe tia maji tia maji.Unashangilia uku umeshika moyo.Subiri uone Jmosi kitakachokupata utajuta kuleta timu kwa Mkapa.Woga Bwana,ukapeleka barua yako bodi ya ligi ili mechi isogezwe mbele umekataliwa hahahaaaaa,lazima uliwe tena sana
Mechi ya kesho mnakufa goli mbili,alafu ubingwa mtausoma tu kwenye magazeti ya michezo.
 
Back
Top Bottom