kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
nilisemaga ile kauli ya waziri wa Zanzibar haikuwa yakiungwana kwenye michezo sasa timu ipendwayo ni Yanga basi ikashiriki
Ningewashangaa sana kama simba wangeshiriki hiyo michuano baada ya kauli ya kifedhuri ya waziri wa zanzibar. Hayo mashindano hayana umuhimu zaidi ya kuingizia pesa waandaji na kutuumizia wachezaji wetu.