kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
Ningewashangaa sana kama simba wangeshiriki hiyo michuano baada ya kauli ya kifedhuri ya waziri wa zanzibar. Hayo mashindano hayana umuhimu zaidi ya kuingizia pesa waandaji na kutuumizia wachezaji wetu.
Wangekuwa na uwezo hata tar 11 wangesusa lakini imeshindikanaHahaaa wanawakimbia Yanga, wameishanusa harufu ya kipigo
GSM soon anaenda kwenye udhamini Shirikisho la soka Afrika kwa Taarifa tu wako kwenye majadiliano jiandaeni kukimbia na huko.Kikosi kipana kwa nadharia hovyo kabisa nyie mtamkimbia Yanga mpaka lini .Hahahahaaaaa Simba kawa paka hatariLazima ujue Malengo ya Simba ni tofauti na malengo ya Yanga wala huna haja ya kuwaza sana.
Huko kwenye Shirikisho mechi zijazo mnakula kipigo hamvuki,nyie si mnadai mna kikosi kipana mnatakiwa mshiriki mashindano yoyote yaliyombele yenu lengo kuwapa nafasi wachezaji ambao hamuwatumii mfano Ajibu,Yusufu muhilu n.k ,Ndugu zangu mnaogopa kipigo Cha Yanga hahahaaaaaKila mtu ana malengo yake so tusipangiane,, kama ilivyo kwa yanga malengo yake ni kumfunga simba na kuchukua mapinduzi cup,, simba wao malengo yao ni kombe la shirikisho Africa, azam confederation, na ligi kuu
Woga huoo Hahahahaaaaa,Simba kageuka kawa Panya kwa PakaKUPANGIANA TARATIBU NA UENDESHAJI WA TIMU UMEANZA LINI? MIND YOUR OWN BUSINESS!
Kwani Yanga haijawahi kugome hayo mashindano ya Kombe la Mapinduzi ?Woga huoo Hahahahaaaaa,Simba kageuka kawa Panya kwa Paka
Yanga baba lao,mtatukimbia sana kuanzia msimu huu mpaka misimu yote ijayo.Hela ipo Usajiri wa nguvu kila msimu kwa kila sehemu yenye udhaifu,kila mkikutana na Yanga ni kipigo mkinusurika mmetoa sare.Yanga ndiyo Baba yenu mpaka mtakomaNendeni mkacheze nyie, kwani mara ngapi mligomea kucheza na hamku ulizwa.
Nandeni mkacheze na washindani wenu Azam.
Leteni timu si mnadai mna kikosi kipana nyie.Leteni tuwatafune kudadeki zenu.Mtatukimbia sana hata hiyo mechi ya Jmosi mlipeleka maombi kwenye bodi ya ligi isogezwe mbele mkakataliwa Hahahahaaaaa ,lazima mliweKwani Yanga haijawahi kugome hayo mashindano ya Kombe la Mapinduzi ?
Mkigomea nyie ndio sawa au sio
Hapo shida ni nembo ya GSM kwasababu wamedhamini.Huu ni mwanzo wa kuharibu soka la bongoHahaaa wanawakimbia Yanga, wameishanusa harufu ya kipigo
Woga wako ndiyo umasikini wako.Wimbo wa Rose muhando,Simba kageuka kawa Panya kwa Paka,sababu zao hazina mashiko si wanadai Wana kikosi kipana leta timu ule kipigo Cha mbwa mwizi kudadeki.Lazima Nyama pori itafunwe na kunywewa supuNendeni mkacheze nyie, kwani mara ngapi mligomea kucheza na hamku ulizwa.
Nandeni mkacheze na washindani wenu Azam.
Pointless ,Woga tu wanaogopa kushindiliwa vitu vizito Yanga kawapania sana.Mayeleeeeeee hatariii huku saido,Kule Jesus Moloko,hapa Aucho,Pale Bangala ,kule Fei Toto Hahahahaaaaa hatariiiiiiii lazima wakimbieSimba imewekeza zaidi kimataifa mambo ya ligi zenu za mbuzi komaeni wenyewe.
Pointless ,Woga tu wanaogopa kushindiliwa vitu vizito Yanga kawapania sana.Mayeleeeeeee hatariii huku saido,Kule Jesus Moloko,hapa Aucho,Pale Bangala ,kule Fei Toto Hahahahaaaaa hatariiiiiiii lazima wakimbie
Yanga mpo juu sana, mnatisha yaaniHapy Birthday Tanganyika.
Simba Mmejitoa kushiriki Mashindano ya Mapinduzi Kisa maandalizi ya Caf Champion League
Sasa Kimbieni Tu, bdo kuwa Co Sponsor wa Caf na Pia Kuwa Co. Sponsor Wa Kombe La Azam Cup Federation.
Sasa Sjui mtasema mmetingwa na Nini [emoji23][emoji23]
Unasuusa Suuuusaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037869
Mwambieni Mo nae aweke hela,huyo tajiri wenu wa kwenye makaratasi .Raha ya utajiri tumia pesa tuone,huyo tajiri kanjanja,wewe uliona wapi tajiri anashinda mitandaoni kujibishana na watu mda huo anatoa.Nenda kaangalia wafanyakazi kwenye kampuni zake wanavyonyanyasika malipo duni na unyanyasaji mwingi si unajua wahindi walivyo.Watu wanafanyakazi kwa sababu ya shida na umasikini tu lakini wananung'unika balaaaa.Huyo muhindi hovyo kabisaaa Hana huruma hata kidogoHapo shida ni nembo ya GSM kwasababu wamedhamini.Huu ni mwanzo wa kuharibu soka la bongo