Alishasema timu ikishinda tu. Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Walitaka kamserereko,aaahaapEsa hazigaiwi kirahisi hivyo😄
Kama wao wanataka hela kwelii! Wakazitafute misrii🤣Walitaka kamserereko,aaahaa
Thubutu,ahaaaaaKama wao wanataka hela kwelii! Wakazitafute misrii🤣
Unataka kusema kuwa Mama Samia ameahidi kuwa hata Al Ahly wangeshinda goli 3 kwa 2 mama angegawa pesa kwa Simba kwa hayo magoli mawili aliyopata pamoja na kufungwa kwao?Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Usimsingizie Msigwa!! Usimlishe maneno!! Pesa za simba sh 20M ziko pale pale!! Mama hawezi kujidhalilisha kiasi hicho!!

Msigwa alisema na akarudia mara mbili mbili. Simba ikishinda, Simba ikishinda, kila goli mama atatoa 10M, zingatia neno ikishinda! Sasa labda tuanzie hapo, Simba imeshinda!!?[emoji23][emoji23][emoji23]Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Yanga kwenye mechi na USM alger ahadi ilikuwa kama hiyo endapo yanga akishinda mechi kila holi milioni kadhaa, yanga akabanduliwa 2-1 kwa mkapa na bado akapewa helaUnataka kusema kuwa Mama Samia ameahidi kuwa hata Al Ahly wangeshinda goli 3 kwa 2 mama angegawa pesa kwa Simba kwa hayo magoli mawili aliyopata pamoja na kufungwa kwao?
Kama ilikuwa hivyo basi kuna tatizo hapo, kuna kupata goli na kushinda. Sasa hapo ni kupata goli na sio kushindaYanga kwenye mechi na USM alger ahadi ilikuwa kama hiyo endapo yanga akishinda mechi kila holi milioni kadhaa, yanga akabanduliwa 2-1 kwa mkapa na bado akapewa hela
Mbona hata msimu uliopita utaratibu ulikuwa ni huo huo!! Sioni sababu ya kususia hizo pesa kama ina mashiko. Uzuri bado mna nafasi ya kwenda kushinda ugenini kwenye mechi ya marudiano.Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.