Simba wasusie hela ya goli ya mama

Simba wasusie hela ya goli ya mama

Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.

Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.

Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.

Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Mama ndiyo nani huyu au unasema rais ambaye kila chawa anapenda kumuita mama kana kwamba wanawake wengine si mama?
 
Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.

Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.

Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.

Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Huu ni udumavu wa ankili
 
Huyu mama hajui ugumu wa mpira, angekua anajua asingekua anatoa ahadi za kitoto eti zawad hadi ushinde mpira wa miguu huwez kuamin kwenye kushinda tu, kuna muda goli pekee linakupa ubingwa na hujashinda vile vile rejea fainal ya Yanga.
 
Hata wewe unaruhusiwa kutoa kwa mashariti yako
 
Kwanza mashindano yana pesa nyingi hizo milioni 10 ni pesa gani?
Sipendi hata kuzifikiria
 
Mbona hata msimu uliopita utaratibu ulikuwa ni huo huo!! Sioni sababu ya kususia hizo pesa kama ina mashiko. Uzuri bado mna nafasi ya kwenda kushinda ugenini kwenye mechi ya marudiano.
Uzuri wakishinda Misri hata pesa za hizi goli 2 watajumuishiwa.
Lakini jee watashinda?
 
Mkuu, hao ni mbumbumbu, wanashindwa kutofautisha kati ya kushinda na kufunga.

Kiufupi jana mbumbumbu amefunga lakini hajashinda.

Naahidi kwenye ujenzi wa sanamu la Rage pale msimbazi nitajitolea ndoo 7 za maji.
Mimi nitajitolea nguvu kazi.
 
Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.

Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.

Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.

Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Kashajua kuna mtu anaenda kutinduliwa ipasavyo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.

Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.

Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.

Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
acheni ujinga na pesa za umma shindeni mechi mpewe pesa nyie takeni pesa kirahisi mtapakatwa!
 
Back
Top Bottom