Sasa aliyekwambia sijafatilia nani?Uwe una fuatilia kabla hujabisha
Mama ndiyo nani huyu au unasema rais ambaye kila chawa anapenda kumuita mama kana kwamba wanawake wengine si mama?Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Sasa unachobisha ni kipi ?Sasa aliyekwambia sijafatilia nani?
Huu ni udumavu wa ankiliMama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
Mi sijabisha chochote ila nakuona wewe ndio unabishaSasa unachobisha ni kipi ?
Hata wewe unaruhusiwa kutoa kwa mashariti yakoHuyu mama hajui ugumu wa mpira, angekua anajua asingekua anatoa ahadi za kitoto eti zawad hadi ushinde mpira wa miguu huwez kuamin kwenye kushinda tu, kuna muda goli pekee linakupa ubingwa na hujashinda vile vile rejea fainal ya Yanga.
Swali langu limehalalisha yanga kupata Hiyo ela ya zawadi Hata Kama walipoteza first keg ya fainali ya cafccSijakuelewa swali lako uliza vizuri nikuelewe
Unashinda magoli au unafunga magoli?Msigwa alisema na akarudia mara mbili mbili. Simba ikishinda, Simba ikishinda, kila goli mama atatoa 10M, zingatia neno ikishinda! Sasa labda tuanzie hapo, Simba imeshinda!!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri wakishinda Misri hata pesa za hizi goli 2 watajumuishiwa.Mbona hata msimu uliopita utaratibu ulikuwa ni huo huo!! Sioni sababu ya kususia hizo pesa kama ina mashiko. Uzuri bado mna nafasi ya kwenda kushinda ugenini kwenye mechi ya marudiano.
Mimi nitajitolea nguvu kazi.Mkuu, hao ni mbumbumbu, wanashindwa kutofautisha kati ya kushinda na kufunga.
Kiufupi jana mbumbumbu amefunga lakini hajashinda.
Naahidi kwenye ujenzi wa sanamu la Rage pale msimbazi nitajitolea ndoo 7 za maji.
Wataenda kushinda kibabe ugenini! Wewe huoni wanavyojipa moyo?Uzuri wakishinda Misri hata pesa za hizi goli 2 watajumuishiwa.
Lakini jee watashinda?
Kashajua kuna mtu anaenda kutinduliwa ipasavyo.Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.
Tunajua mama ni Yanga ndo maana amegoma kutoa hela kwasababu simba haikushinda. Mashindano mengine yapo huo ni udhalilishaji Kwanza mil 10 hela gani kwa timu kama Simba.
Ingekuwa vizuri hata kwenye mashindano yoyote simba ikishinda wasiende kupokea hiyo hela wapuuzie tu.
Unasema unanunua goli halafu hukuweka vigezo baadaye unasema hawakushinda.
acheni ujinga na pesa za umma shindeni mechi mpewe pesa nyie takeni pesa kirahisi mtapakatwa!Mama alitangaza goli moja sh mil 10. Bila kusema kwamba hiyo hela ni timu ikishinda tu, baada ya kuona simba imeshinda magoli mawili Msigwa akatangaza hela ni timu ikishinda tu.