Hamna team ambayo haifungwi.Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.
Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.
Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Jibu swaliMwiko nyuma
Yaani acha tu ndugu yangu,Yaani kuna watu sijui wanatumia nini kufikiria.Kelele zote hizi ni hiyo mech moja ya jana tu. Ndo ushaconclude mpaka anaechukua ubingwa.
Karibu Mtani tuendeleze wanga.Simba nguvu mojaUnawanga!
Ndo kawaida hiyo mkuu. Si ajabu kushangilia sa mnashinda ili mkae kimya afu iweje sasa si bora msishiriki kama hamkifurahii mnachovuna.siyo kelele,tukichukua tutarudi kimya kimya siyo kama nye mlizunguka nayo dar yote mwaka jana hadi mikoani
Kwa kutumia kigezo cha kishabiki upo sahihi, ila hali halisi mpaka sasa haipo hivyo.Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.
Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.
Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.
Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.
Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Kelele zote hizi ni hiyo mech moja ya jana tu. Ndo ushaconclude mpaka anaechukua ubingwa.
Na nyie mna muda wa kuchezea kujibu utaahira wa awa vilaza wa Mo energy, wao wameshamaliza kila kitu kwa kumfunga namungo mpaka ligi wamebeba tiyali hizi ni akili za fisi kuvizia mizoga ndo apate mlo wake!Kwa kutumia kigezo cha kishabiki upo sahihi, ila hali halisi mpaka sasa haipo hivyo.
Pancho vipi, mligaragazwa mapinduzi cupMods futa hii takataka hapa
Kama ambavyo simba amenufaika na penalty na kadi nyekundu za wapinzani na kukusanya point 9 kupitia njia iyoUkweli yanga hakutoboa mapinduzi kwa sababu hakubebwa na waamuzi kama inavyofanyika huku bara.
Hata akifungwa watalazimishiwa penalty ili wasawazishe.
Na kama wamefunga,mpinzani hatapewa nafasi ya kufunga kwani kila akitengeneza move ya goli itatafutwa sababu ya kuua move hiyo.
Yalishapita.Pancho vipi, mligaragazwa mapinduzi cup
Litapungua baada ya mechi ya Mtibwa vs Yanga. Ila endapo Yanga watashinda dhidi ya Mtibwa kuna uwezekano gap likapungua mbeleni au likaongezeka zaidi kutoka nane mpaka 11. Laiti kama kungekuwa na maamuzi ya haki nadhani hilo shwangwe lako la gap kupungua usingekuwa nalo saivi.Gap linapungua ,tunakumbushana