Simba watachukua ubingwa wa NBC kwa 7-10

Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.

Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.

Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Hamna team ambayo haifungwi.

Kilichotokea jana kwa yanga ndio mpira ulivyo.

Muda ndio utaongea zaidi.
 
Kelele zote hizi ni hiyo mech moja ya jana tu. Ndo ushaconclude mpaka anaechukua ubingwa.
 
Yaani acha tu ndugu yangu,Yaani kuna watu sijui wanatumia nini kufikiria.

Yaani mtu ana conclude ubingwa kwa mechi ya jana.
 
Kelele zote hizi ni hiyo mech moja ya jana tu. Ndo ushaconclude mpaka anaechukua ubingwa.
siyo kelele,tukichukua tutarudi kimya kimya siyo kama nye mlizunguka nayo dar yote mwaka jana hadi mikoani
 
Ndo kawaida hiyo mkuu. Si ajabu kushangilia sa mnashinda ili mkae kimya afu iweje sasa si bora msishiriki kama hamkifurahii mnachovuna.
 
Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.

Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.

Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Kwa kutumia kigezo cha kishabiki upo sahihi, ila hali halisi mpaka sasa haipo hivyo.
 
Ni wapuuzi tu ndo mnatumia perfomance ya mechi mbili ku-draw conclusion. Siku Simba alipomfunga 4-1 Ruvu shooting mliongea kila aina ya neno.......baada ya hapo Simba haikuwa na kiwango bora tena. Juzi tu kwenye hii Mapinduzi, Simba alihangaika sana kupata matokeo kwa Mlandege. Muwe na subira, msiongee sana
Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.

Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.

Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
 
Kwa kutumia kigezo cha kishabiki upo sahihi, ila hali halisi mpaka sasa haipo hivyo.
Na nyie mna muda wa kuchezea kujibu utaahira wa awa vilaza wa Mo energy, wao wameshamaliza kila kitu kwa kumfunga namungo mpaka ligi wamebeba tiyali hizi ni akili za fisi kuvizia mizoga ndo apate mlo wake!
 
Ukweli yanga hakutoboa mapinduzi kwa sababu hakubebwa na waamuzi kama inavyofanyika huku bara.
Hata akifungwa watalazimishiwa penalty ili wasawazishe.
Na kama wamefunga,mpinzani hatapewa nafasi ya kufunga kwani kila akitengeneza move ya goli itatafutwa sababu ya kuua move hiyo.
 
Kama ambavyo simba amenufaika na penalty na kadi nyekundu za wapinzani na kukusanya point 9 kupitia njia iyo
 
Akili za yanga nani hazijui
Screenshot_20220106-185640.jpg
 
Gap linapungua ,tunakumbushana
 
Gap linapungua ,tunakumbushana
Litapungua baada ya mechi ya Mtibwa vs Yanga. Ila endapo Yanga watashinda dhidi ya Mtibwa kuna uwezekano gap likapungua mbeleni au likaongezeka zaidi kutoka nane mpaka 11. Laiti kama kungekuwa na maamuzi ya haki nadhani hilo shwangwe lako la gap kupungua usingekuwa nalo saivi.
Timu inaishi kwa massada wa marefa tu
 
Back
Top Bottom