NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Hamna team ambayo haifungwi.Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.
Kwanza Simba watachukua points 3 kwa Yanga halafu yanga watadraw mechi zisizopungua 4.
Kama marefa hawatawabeba Simba watachukua ubingwa kwa points za kutosha tu.
Kilichotokea jana kwa yanga ndio mpira ulivyo.
Muda ndio utaongea zaidi.