Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri moroco wameingiza wydad casablanca timu ya msuva
Alitolewa na mabingwa wa Senegal juzi .Nafikiri moroco wameingiza wydad casablanca timu ya msuva
Alitolewa na mabingwa wa Senegal juzi .
HakutolewaAlitolewa na mabingwa wa Senegal juzi .
Kwenye hizo timu alizoweka shaffih dauda hiyo timu ya mwisho hapo chini ndo imemtoa.Hakutolewa
Acha ubishi basi, msuva yupo wydad na wydad ipo 16 boraKwenye hizo timu alizoweka shaffih dauda hiyo timu ya mwisho hapo chini ndo imemtoa.
Kwenye hizo timu alizoweka shaffih dauda hiyo timu ya mwisho hapo chini ndo imemtoa.
Mi nasemea Raja Casablanca syo Wydad CasablancaAcha ubishi basi, msuva yupo wydad na wydad ipo 16 bora
Ok, mimi nazungumzia msuvaMi nasemea Raja Casablanca syo Wydad Casablanca
Poa poa mkuu..Hao Raja wametolewa kwao kabisa kwa mikwaju ya penalty.. Uwanja ulikuwa mbovu sana kwa hali ya hewa..wanaenda kucheza shirikisho .Ok, mimi nazungumzia msuva
View attachment 1670559
Ukibisha na hapo wewe master
Kwaio dauda amedanganya kama kawaida yakeAcha ubishi basi, msuva yupo wydad na wydad ipo 16 bora
Dauda hajadanganya, ukiangalia hapo dauda kaweka timu 12 kati ya 16 na wakati anaweka wydad alikuwa hajafuzu bado, na niliyekuwa najibizana nae alikuwa anazungumzia rajaKwaio dauda amedanganya kama kawaida yake
HahahaaTatizo lipo kwa uto