Simba watajinyakulia 1.2 bilioni

Simba watajinyakulia 1.2 bilioni

karue

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
203
Reaction score
435
Kwa mjibu wa caf timu zitakazoingia makundi yaani 16 bora watapata pesa za kitanzania bilioni moja na milioni mia mbili
IMG-20210107-WA0014.jpg
 
Ok, mimi nazungumzia msuva
Poa poa mkuu..Hao Raja wametolewa kwao kabisa kwa mikwaju ya penalty.. Uwanja ulikuwa mbovu sana kwa hali ya hewa..wanaenda kucheza shirikisho .
 
Mashabiki wa simba wana mdomo Kama mwanamke wa kazaramo ni hivi waarabu wengi wamefuzu mwisho wao tushauona
 
Back
Top Bottom