Simba watajinyakulia 1.2 bilioni

Hongera yao kwa kupambana huko
 
Aisee warabu kama wote kwny group stage kaz tunayo
 
Raja Casablanca hayupo??
 
Ok, mimi nazungumzia msuva
Poa poa mkuu..Hao Raja wametolewa kwao kabisa kwa mikwaju ya penalty.. Uwanja ulikuwa mbovu sana kwa hali ya hewa..wanaenda kucheza shirikisho .
 
Mashabiki wa simba wana mdomo Kama mwanamke wa kazaramo ni hivi waarabu wengi wamefuzu mwisho wao tushauona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…