Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
- Thread starter
- #21
Aliku
Naona mara hii ushasahau kilichotokea kwa Africa Lyon...Sioni kama kuna shida yoyote kwani hakuna chochote anachokabidhiwa mtu bila kuwepo terms and condition za kisheria.Hivi vitu vitaenda kisheria na makubaliano ya kisheria lazima yawepo.
Hivi kwanini sisi ni waoga kwa mambo ambayo hayana msingi.
Kwa mantiki hii na kwa jambo dogo hivi hatuwezi kuendelea kwa lolote.
Kuthubutu kwetu ni kitu kisichowezekana,na tutashindwa kwa mengi kwa mtindo huu.