Simba Watangaza maafa kombe la mapinduzi kuonyesha ukubwa wao.

Simba Watangaza maafa kombe la mapinduzi kuonyesha ukubwa wao.

𝗔𝗜𝗕𝗨 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗟𝗢

Hivi nyie ndugu zangu mmeliona hili leo,Kuna mchezaji wao alikuwa jukwani hata kwenye wachezaji wa akiba jina lake halikuwepo lakini Bongo zozo alivyoona mambo magumu akamshusha jukwani na akamchezesha[emoji16] lakini wapi....

[emoji599]Rai yangu kwa waandaaji wa mashindano haya ya Mapinduzi cup simamieni sheria ambazo mlizitunga kwa ajili ya haya mashindano,Hii timu ya masela isivuruge Wala kuvunja Sheria maksudi kisa washaona hawana chao huku Zanzibar.

#Niushauritu

NB;Kisa aliwabahatisha Wydad alijua leo tena kwa Apr[emoji23]
 
Huyu Ngoma kila game wanampanga, akija kuchoka game moja akawa uchochoro watamlaumu sana.
 
Mara nyingi kombe hili Ni fursa kwa wale ambao huwa hawapati nafasi kikosini ,sasa inakuwaje Simba mnapeleka wachezaji wote hamuoni kama ni kukamia mashindano?
Kwamba ni moja ya kanuni za kombe la mapinduzi, kwamba wanaotakiwa kucheza ni wale wasiopata nafasi.
 
Kwamba ni moja ya kanuni za kombe la mapinduzi, kwamba wanaotakiwa kucheza ni wale wasiopata nafasi.
Hapana ila kupunguza uchovu wa baadhi ya wachezaji kama ngoma,saido, kapombe lazim wapate mapumziko wale sio mashine.
 
Hivi unajua maana ya timu B?

Hivyo kina skudu na mkude ni timu B?

Ni kanuni ipi inasema hivyo?
Kwacha kujitoa akili maana yetu hasa muwapange wachezaje ambao walikuwa hawapati kabisa nmaba...why mnapanga walewale.KAUKA NIKUVAE
 
Mbona inavuma sana hii logo ya puma kwani Kuna nini huku Zanzibar [emoji23] Mapinduzi cup.

Au timu la masela limeshasaini mkataba na puma....[emoji119]
 
Yanga waliokosekana
1. Nondo
2. ⁠Diara
3. ⁠Bacca
4. ⁠Job
5. ⁠Musonda
6. ⁠Azizi
7. ⁠Metacha
8. ⁠Mudathir
9. ⁠Pacome
10. ⁠Aucho
11. ⁠Yao
12. ⁠Sure Boy
13. Max
Simba waliokosekana
1. Manula
2. ⁠Inonga
3. ⁠Kibu
4. ⁠Shabalala
5. Chama.
Kuna watu haya ndio mashindano yao hapo majibu mnayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom