Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
- Thread starter
- #21
Mpange under 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpange under 20
Wanalazimisha Sana sasa watampanga Nani unafikiri?Huyu Ngoma kila game wanampanga, akija kuchoka game moja akawa uchochoro watamlaumu sana.
Kwamba ni moja ya kanuni za kombe la mapinduzi, kwamba wanaotakiwa kucheza ni wale wasiopata nafasi.Mara nyingi kombe hili Ni fursa kwa wale ambao huwa hawapati nafasi kikosini ,sasa inakuwaje Simba mnapeleka wachezaji wote hamuoni kama ni kukamia mashindano?
Hivi unajua maana ya timu B?50% team B.....ndio mpango mzima
Hapana ila kupunguza uchovu wa baadhi ya wachezaji kama ngoma,saido, kapombe lazim wapate mapumziko wale sio mashine.Kwamba ni moja ya kanuni za kombe la mapinduzi, kwamba wanaotakiwa kucheza ni wale wasiopata nafasi.
Kwacha kujitoa akili maana yetu hasa muwapange wachezaje ambao walikuwa hawapati kabisa nmaba...why mnapanga walewale.KAUKA NIKUVAEHivi unajua maana ya timu B?
Hivyo kina skudu na mkude ni timu B?
Ni kanuni ipi inasema hivyo?