𝗔𝗜𝗕𝗨 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗟𝗢
Hivi nyie ndugu zangu mmeliona hili leo,Kuna mchezaji wao alikuwa jukwani hata kwenye wachezaji wa akiba jina lake halikuwepo lakini Bongo zozo alivyoona mambo magumu akamshusha jukwani na akamchezesha[emoji16] lakini wapi....
[emoji599]Rai yangu kwa waandaaji wa mashindano haya ya Mapinduzi cup simamieni sheria ambazo mlizitunga kwa ajili ya haya mashindano,Hii timu ya masela isivuruge Wala kuvunja Sheria maksudi kisa washaona hawana chao huku Zanzibar.
#Niushauritu
NB;Kisa aliwabahatisha Wydad alijua leo tena kwa Apr[emoji23]