Simba we don’t deserve this

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407

Mwamnyeto na Bacca wamecheza vizuri
Pengo la kapombe na Mohamed halijaonekana, Yanga inaongoza league, Simba tumepangiwa na Al Ahly Super League, wachezaji wetu bado mfumo hawajaelewana.

Simba we dont deserve this pain wallahi..[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nacheka kama mazuri hivi laiti kama Algeria angekuwa anahitaji point 3 kufuzu tungepona jana [emoji23][emoji23]
Walituachia wangeamua kutupelekea moto jana leo mji ungekuwa kimyaa....the same apply to 2019 Uganda alishapita akatuachia nasi tupite yaani kitonga tukajiona miamba, bure kabisa.
Kilichotokea kule kwenye tournament tuliona, istoshe Uganda alionyesha uhai kuliko sisi kwenye ile tournament.
Hizi fluke hizi [emoji23]
 
Tuondolee utopolo wako muda wote unaiwaza Simba utafikiri nyie hamna mechi za CAFCL au kwa vile mumezoea ndondo cup yenu?
 

Mpira haupo hivyo, Club Africain walikuwa wanahitaji ushindi wa goli1 tu nyumbani kwao lakini walifungwa wao, refer Morocco last World cup
 
Mpira haupo hivyo, Club Africain walikuwa wanahitaji ushindi wa goli1 tu nyumbani kwao lakini walifungwa wao, refer Morocco last World cup
Mpira upo hivyo samaki mkubwa humla mdogo unataka usitake.
Acha kufananisha Club africans na timu ya taifa ya Algeria ambayo imesheheni watu wanajielewa nini wanataka kwa wakati gani, hivi Algeria wangekuwa wanagombania point moja ya ku'qualifying wangecheza vile, acha upofu usio na maana, acha kuota ndoto za mchana.
 
Ktk sehemu ambayo Yanga wapo Imara ni beki line yetu,yaani aliyemwona Bacca jamaa anafaa tumpe kazi ya uscout Yanga.Mwanyeto ndio kabisa jana kacheza
Mipira mingi ya Cross,Job kiraka.Ndugu zangu Simba huyu Mzamiru ukimchukulia poa ,mtaumia kwani hana mbadala wake pale Simba.

Yule dogo Novatus jana ndio Man of the match.
 
Wallah Wabillah!! We don't deserve this. 😫
 
Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiamdae kisaikolojia


•••
CAPO DELGADO
Hellow Wana JF.

Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023.

Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na MSOMI WA UKOCHA.

MAMBO AMBAYO NILIPENDEKEZA KWA UONGOZI NA BENCHI LA UFUNDI WAYAFANYIE KAZI NA HAWAJAYAFANYIA KAZI.

1: Kuwabakisha Kakolanya na Onyango.

2: Niliwashauri Simba Wasajili beki kama Yao Yao Beki wa kuwachallange Kapombe na Shabalala pande zote mbili.
Beki anayecheza kulia na kushoto.

3: Nilishauri kuwa na Mabeki 3 wa KIMATAIFA WA kati.
🧧Inonga.
🧧Malone
🧧Onyango

5 : Kusajili Viungo wawili 6,8.
Nilipendekeza Simba ISAJILI kati ya Bangala au efoe Novon kwenye eneo la Kiungo mkabaji CDM 6...

Pia nilipendekeza Simba Kusajili kiungo No 8.
Kiungo kariba ya Aucho Akicheza 8
Kiongozi mpambanaji BOX TO BOX

6: pia nilipendekeza WASAJILI mshambuliaji mmoja mrefu 9 mwenye uwezo Mkubwa WA kumchallange Baleke.


MSIMU WA USAJILI NIKASHANGAZWA SANA NA USAJILI UNAOFANYIKA SIMBA.
USAJILI WOTE HAUENDANI NA FALSAFA UYA SIMBA LUNYASI.

.
UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA HAWA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
Zaidi ya mawinga 7

Mawinga. 2023
( 1. Peter Banda.)
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
8. Luis Miquesson.

HAPA wenye uhakika ni 3 tu
7.Kibu
10.saido
11. Chama.

Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.

1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
.
UNAJIULIZA HUU USAJILI UNAFANYWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KWELI

Alex FERGASON ALIPATA kuwahi kusema
Safi Bora ya Ushambuliaji itakupa MAGOLi safu Bora ya ulinzi itakupa Mataji.

SIMBA WAMEPUUZA MAONI YANGU
MASHABIKI NA WANACHAMA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.
KIUFUNDI SIMBA IPO HOVYO SANA. ILIAMUA KUSAJILI MAJINA NA SI WACHEZAJI.


SIKUONA SABABU ZOZOTE ZA MAANA ZA KUSAJILI.
1. GOLIKIPA AYOUB.
2. FABRICE NGOMA.
3. LUIS MIQUISSONE.
4. AUBIN KRAMO.
5. MOSES PHILI.
6. SADIO KANUTE.

Maeneo nyeti niliyowashauri WAYAFANYIE KAZI hawajayafanyia kazi.

N:B.
Simba Ina zaidi ya MICHEZO 60 MSIMU
🧧LIGI KUU MICHEZO 30.
🧧AZAM FEDERATION 6
🧧MPINDUZI +NGAO 6
🧧MECHI ZA KIRAFIKI. 6
🧧CAF CL. 6
🧧SUPER LEAGUE. 6.

MATOKEO yake.
🧧Inonga na Malone WANATAKIWA wacheze MICHEZO yote 60
Bila ADHABU Wala Majeraha.
🧧. Kapombe na shabala WANATAKIWA wacheze MICHEZO 60.
🧧Mzamiru Mgoma na kanute MICHEZO 60
 
Pole mtani
 
Kabisa mkuu
 
It doesn't matter,tukifika makundi tutaona
 
Kwa Mpira wa Jana Algeria alitaka kushinda hakutaka droo ingawa stars walicheza kimbinu zaidi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…