Simba, wekezeni kisoka michezo ya CAF. Huku NBC tuhonge pesa tu kama wengine

Simba, wekezeni kisoka michezo ya CAF. Huku NBC tuhonge pesa tu kama wengine

Huyu huyu Arajiga aliyemwacha Bajana bila red card kwa rafu za wazi ndo amehongwa? Wewe kweli una njaa. Nawaambia lawama zangu kwa marefa si kuhongwa isipokuwa hawajui wanachokifanya. Ukiuliza kwa nini Dube kanyimwa penati anasema ilikuwa fair challenge.
Dube alifanyiwa faulo nje ya 18 karudie vizuri.
 
Refa aragije jana kaulizwa na waandishi wa habari alikili yeye ni mwananchi lialia
 
Makolo mtakufa kwa presha na chuki nyambafu.
aragija.JPG
 
Kila mtu ashinde mechi zake...mechi 41 still hatujapoteza mechi yoyote..
uko sahihi kabisa, ndiyo maana tunataka kina Try againa wafungulie booster ili na sisi tufike hizo mechi unbeaten maana niikukumbuka ile ya namungo..ile ya ruvu na hii ya jana.... 😁 😀
 
Ushauri wangu Timu zicheze mpira tu ...ukicheza mpira mzur na watu wakaona cjui kama haya maneno yote yatakuja.Mm ni miongoni mwa washabiki wa mpira haswa juzi tu tuliona goli la simba na mbeya city John aliingilia mchezo lakini refa kwa vile hakuona vizur akaweka kati ,haya ni mambo tu yanatokea kwenye mpira misimu iliyopita watu walikuwa wanalia sana na Bahasha za jamaa wa tiktok.
Sema Tanzania ikitokea timu inafanya vizur msimu huo maneno maneno hayakosekani.
Hata ukitembeza bahasha ukiwa huna wachezaji wanaoweza kukupa matokeo utahangaika sana.
 
Salim try again BEBA HILI JUKUMU kama huliwezi mkabidhi Kassim Dewji au kaduguda, katoeni pesa za MBET hizo benki HONGENI KAMA WENGINE , hoooongaa hadi ma ball boys sambaza hadi kwa makanjanja machambuzi ya redio za wilayani,mikoani hadi redio zinazotangaza lugha asili...CHAFUA KILA MAHALA NA PESA

Wasambaze upendo siyo?
 
Ila try again asisahau kuwahonga na akina bocco na kibu ili wasiwe wanakosa magoli ovyo vinginevyo muindi ataonga na mpka atafilisi mali za urithi na bdo mtaendelea kulia tu shida ya watu wengi wa Simba hawataki kukubali madhaifu ya timu yao ila wamebakia kwenye hoja dhaifu yaani yanga ikishinda bahasha ila Simba ikishinda chama noma
 
Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara atakamalizia sasa.

Suala la technics, sijui tactics wekezeni kwa ajili ya michezo ya CAF kwa huku NBC tengeni fungu kubwa la bahasha ikibidi katoeni kwenye zile pesa za MBET.

Ubaya ubaya tu, ni kumwaga mpunga kwa marefa, wasaidizi wake hadi ma ball boys, LIWALO NA LIWE KUDAAADEEEKI.

Ikibidi pia na wachambuzi makanjanja njaa nao wapewe bahasha si mmeona leo wanavyomtetea Aragija?bahasha za Pwagu hizo zinaongea, MWAGA MAPESA MWAGA MAPEEEESAAAAAAAAAAA

View attachment 2348190
Mmechelewa!
Caf utawekeza na Akina Kibu???

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara atakamalizia sasa.

Suala la technics, sijui tactics wekezeni kwa ajili ya michezo ya CAF kwa huku NBC tengeni fungu kubwa la bahasha ikibidi katoeni kwenye zile pesa za MBET.

Ubaya ubaya tu, ni kumwaga mpunga kwa marefa, wasaidizi wake hadi ma ball boys, LIWALO NA LIWE KUDAAADEEEKI.

Ikibidi pia na wachambuzi makanjanja njaa nao wapewe bahasha si mmeona leo wanavyomtetea Aragija?bahasha za Pwagu hizo zinaongea, MWAGA MAPESA MWAGA MAPEEEESAAAAAAAAAAA

View attachment 2348190
Wenzenu wakisajili nyie mlikuwa mnanunua mabasi, matokeo yake ndio haya.
 
Back
Top Bottom