Simba, wekezeni kisoka michezo ya CAF. Huku NBC tuhonge pesa tu kama wengine

Dube alifanyiwa faulo nje ya 18 karudie vizuri.
 
Refa aragije jana kaulizwa na waandishi wa habari alikili yeye ni mwananchi lialia
 
Kila mtu ashinde mechi zake...mechi 41 still hatujapoteza mechi yoyote..
uko sahihi kabisa, ndiyo maana tunataka kina Try againa wafungulie booster ili na sisi tufike hizo mechi unbeaten maana niikukumbuka ile ya namungo..ile ya ruvu na hii ya jana.... 😁 😀
 
Ushauri wangu Timu zicheze mpira tu ...ukicheza mpira mzur na watu wakaona cjui kama haya maneno yote yatakuja.Mm ni miongoni mwa washabiki wa mpira haswa juzi tu tuliona goli la simba na mbeya city John aliingilia mchezo lakini refa kwa vile hakuona vizur akaweka kati ,haya ni mambo tu yanatokea kwenye mpira misimu iliyopita watu walikuwa wanalia sana na Bahasha za jamaa wa tiktok.
Sema Tanzania ikitokea timu inafanya vizur msimu huo maneno maneno hayakosekani.
Hata ukitembeza bahasha ukiwa huna wachezaji wanaoweza kukupa matokeo utahangaika sana.
 

Wasambaze upendo siyo?
 
Ila try again asisahau kuwahonga na akina bocco na kibu ili wasiwe wanakosa magoli ovyo vinginevyo muindi ataonga na mpka atafilisi mali za urithi na bdo mtaendelea kulia tu shida ya watu wengi wa Simba hawataki kukubali madhaifu ya timu yao ila wamebakia kwenye hoja dhaifu yaani yanga ikishinda bahasha ila Simba ikishinda chama noma
 
Mmechelewa!
Caf utawekeza na Akina Kibu???

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wenzenu wakisajili nyie mlikuwa mnanunua mabasi, matokeo yake ndio haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…