njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
fc rabat wako nafasi ya 54,jamaa wale waanafukuza makocha kama hawana akili nzuri ilikuwa team kubwa ime drop ,mashabiki wake wana hasira kinooma.timu aliyosaini kishingo iko nafasi ya ngapi
kama hawaoni vile tukiingia robo tunagonga hadi nafasi ya 13 uhakika kabisa,hat a namungo akikaza anamtoa utopolo hapoHapa wanapita kimya kimya.
Hujijui.kama hawaoni vile tukiingia robo tunagonga hadi nafasi ya 13 uhakika kabisa,hat a namungo akikaza anamtoa utopolo hapo
pole bro simba na ponts 14 aliyepo namba 13 ana point 18 kinashindikana nini sasa utopolo mna point 1 ambayo hata namungo anakaribia kuipata, unateseka ukwia wapi mr utopolo?hao el mereikh wenyewe wako nafasi ya 31,pole sana boss sisi ni mmojawapo ya big boys wa afrikaHujijui.
54Timu aliyosaini kishingo iko nafasi ya ngapi.
wanasema tumehonga na kuwaloga CAF kupata hiyo nafasiHongereni sana sana wana-Uto kwa kuweza kutusua mpaka top 100
Umechanganya sheikh, ya 54 ni FUS RABAT na sio FAR RABAT aliyoenda kishingo.fc rabat wako nafasi ya 54,jamaa wale waanafukuza makocha kama hawana akili nzuri ilikuwa team kubwa ime drop ,mashabiki wake wana hasira kinooma.
duh kweli aisee basi team ya kishingo haipo hata top 70 duuhUmechanganya sheikh, ya 54 ni FUS RABAT na sio FAR RABAT aliyoenda kishingo.
hiyo team au kilabu cha pombe ?wehiu kabisa hao energy kubwa iko kwenye majungu tena wana point 1 kwa miaka 5 kuanzia 2017 hata namungo wanaipata safari hiiUto na maneno yote yale ya mashabik ni ya 69?