njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Yeeessss mambo ni fayaaaa ranking mpya ya CAF mwezi january imetoka simba iko nafasi ya 17 ikiwa na points 14, utopolo wako namba 69 wakiwa na point 1, Gor Mahia ni ya 29, kwa Afrika mashariki mnyama mkali ni namba 1 ya pili Gor Mahia ya tatu ni rayon wakifatiwa na KCCA kisha utopolo ni namba tano.