Simba ya 17 Afrika, Yanga ya 69

Simba ya 17 Afrika, Yanga ya 69

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Yeeessss mambo ni fayaaaa ranking mpya ya CAF mwezi january imetoka simba iko nafasi ya 17 ikiwa na points 14, utopolo wako namba 69 wakiwa na point 1, Gor Mahia ni ya 29, kwa Afrika mashariki mnyama mkali ni namba 1 ya pili Gor Mahia ya tatu ni rayon wakifatiwa na KCCA kisha utopolo ni namba tano.

1.png
3.png
 
fc rabat wako nafasi ya 54,jamaa wale waanafukuza makocha kama hawana akili nzuri ilikuwa team kubwa ime drop ,mashabiki wake wana hasira kinooma.
Umechanganya sheikh, ya 54 ni FUS RABAT na sio FAR RABAT aliyoenda kishingo.
 
Uto na maneno yote yale ya mashabik ni ya 69?
hiyo team au kilabu cha pombe ?wehiu kabisa hao energy kubwa iko kwenye majungu tena wana point 1 kwa miaka 5 kuanzia 2017 hata namungo wanaipata safari hii
 
Back
Top Bottom