Simba ya 98 kwa ubora duniani

Kwani hao IFFHS si ni kampuni ambayo ni endorsed na FIFA? Au unataka Nani atoe takwimu? Kilo 900 Mwakalebela?
 
Simple arithmetics: chukua timu nane kila bara, ambazo zilitinga robo fainali at least for two consecutive seasons

Timu nane kila bara ndizo bora kuliko nyingine. Hatuzungumzii timu tajiri duniani, bali timu zilizopata mafanikio uwanjani angalau kwa kutinga robo fainali angalau kwa misimu 2 kwa kufuatana

Sasa kwa mazingira hayo SSC anakosekanaje?

Jiulize hivi: mbona al ahly ya misri ni miongoni kwa timu tatu duniani zenye mafaniko makubwa kiwanjani ilhali kiutajiri hΓ iifikii hata robo ya Norwich city?

Tutofautishe mafanikio ya klabu kiwanjani dhidi ya mafaniko ya klabu kimapato

[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unachanganya mafanikio vs uwezo. Unaposema timu A ni bora kuliko timu X, y, na Z kwanza tuelewane ni ubora wa namna gani wa kimafanikio au ya kiuwezo. Kama kimafanikio huwezi kulinganisha anayepigana na fransis cheka akashinda kuwa ni bora kuliko aliyepigwa na floyd mayweather. Ili upate mmbora lazima mizania iwe sawa., Kama ni mnazunguzia ubora wa kiuwezo nikuulize swali je Simba inauwezo wa kumfunga timu gani inayoburuza mkia kwenye ligi kubwa tano tu?
 
Mnataka mumpe kazi manara nyinyi maana hataki kusikia lolote la simba.
 
Kuna hoja ya msingi hapa
 
Rudiarudia kusoma andiko langu utaelewa.
.
Utafika mahala utapingana na official information.
.
Sasa Taarifa hii imetolewa na chombo makhusis kwa kazi hiyo, kupinga taarifa husika hakuna namna ya kukusaidi uelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahahqhq
 
πŸ˜‚ naona uto wanalia lia humu
 
Rudiarudia kusoma andiko langu utaelewa.
.
Utafika mahala utapingana na official information.
.
Sasa Taarifa hii imetolewa na chombo makhusis kwa kazi hiyo, kupinga taarifa husika hakuna namna ya kukusaidi uelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni takwimu zisizo na uhalisia wowote. Ndio maana nimekwambia twende kwa fact, Simba inauwezo wa kuifunga timu ya Levante inayoburuza mkia nchini Hispania? Na kuhusu kusema kuwa wameangalia mafanikio hilo nalo twende kwa fact, je inawezekana vipi timu ya Mbao inayoshiriki ligi daraja la kwanza iwe bora kuliko Simba kisa tu Mbao wamechukua kombe la ligi daraja la kwanza na simba wameshindwa kubeba kombe la ligi kuu.
 
Simba haina uwezo hata wa kushiriki ligi daraja la 3 Uingereza afu awe 98 Duniani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi Yanga mbona hawatoi takwimu zao za Ubora wa soka ktk Afrika na Dunia.
Haijulikani ni Wangapi katika rank za CAF na FIFA na Afisa habari wao yiko kimya tu.
Na washabiki wake wala hawaulizi.

Nini shida hasa ?
 
Hivi Yanga mbona hawatoi takwimu zao za Ubora wa soka ktk Afrika na Dunia.
Haijulikani ni Wangapi katika rank za CAF na FIFA na Afisa habari wao yiko kimya tu.
Na washabiki wake wala hawaulizi.

Nini shida hasa ?
Afisa habari wao jana hajalala anatafuta source ya hii taarifa ili aweke ushahidi Instagram kwamba ni ya uongo hakubali habari nzuri yoyote kutoka simba.
 
Nimeona Simba ipo juu ya Antwerp,fc Basel,az alkamaar, bodo/grimt hahahahahaha
Na hao wote wameridhika na stastistics na kumpa heshima simba

Cha ajabu club ambayo haipo imekuwa mstari wa mbele kulalamika kua hizo club zimeonewa badala ajipambanie naye angalau mwakani awe hata wa 390
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…