msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,192
Sasa mbona huwa tunawakunjaNafasi ambayo ndugu zetu hawajawahi kaimu hata kwenye rank za Africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona huwa tunawakunjaNafasi ambayo ndugu zetu hawajawahi kaimu hata kwenye rank za Africa
Kofi la mpenzi haliumi😁😁😁😁Sasa mbona huwa tunawakunja
Kwani hao IFFHS si ni kampuni ambayo ni endorsed na FIFA? Au unataka Nani atoe takwimu? Kilo 900 Mwakalebela?Najaribu tu kuwaza kwa mapana
Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 18
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 98
Je kiuhalisia ni timu ipi ambayo inayoburuza mkia kwenye ligi hizo tano atazidiwa ubora na Simba? Hapo ni ligi bora tu za ulaya sijagusis ligi za mabara mengine ambazo timu ya Brazil na Argentina, Uruguay, zinatoa vilabu vyao kwenye ligi kuu. Anyway kwavile ni kwavile ni takwimu kutoka IFFHS washabiki na viongozi wacha waji mwambafai navyo. Fifa wakitoa world club ranking na Simba wakiwa wa 98 basi nipigwe ban
Simple arithmetics: chukua timu nane kila bara, ambazo zilitinga robo fainali at least for two consecutive seasonsNajaribu tu kuwaza kwa mapana
Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 18
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 98
Je kiuhalisia ni timu ipi ambayo inayoburuza mkia kwenye ligi hizo tano atazidiwa ubora na Simba? Hapo ni ligi bora tu za ulaya sijagusis ligi za mabara mengine ambazo timu ya Brazil na Argentina, Uruguay, zinatoa vilabu vyao kwenye ligi kuu. Anyway kwavile ni kwavile ni takwimu kutoka IFFHS washabiki na viongozi wacha waji mwambafai navyo. Fifa wakitoa world club ranking na Simba wakiwa wa 98 basi nipigwe ban
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Search "Utopwinyo" linaweza kutokea.
Naona unachanganya mafanikio vs uwezo. Unaposema timu A ni bora kuliko timu X, y, na Z kwanza tuelewane ni ubora wa namna gani wa kimafanikio au ya kiuwezo. Kama kimafanikio huwezi kulinganisha anayepigana na fransis cheka akashinda kuwa ni bora kuliko aliyepigwa na floyd mayweather. Ili upate mmbora lazima mizania iwe sawa., Kama ni mnazunguzia ubora wa kiuwezo nikuulize swali je Simba inauwezo wa kumfunga timu gani inayoburuza mkia kwenye ligi kubwa tano tu?Simple arithmetics: chukua timu nane kila bara, ambazo zilitinga robo fainali at least for two consecutive seasons
Timu nane kila bara ndizo bora kuliko nyingine. Hatuzungumzii timu tajiri duniani, bali timu zilizopata mafanikio uwanjani angalau kwa kutinga robo fainali angalau kwa misimu 2 kwa kufuatana
Sasa kwa mazingira hayo SSC anakosekanaje?
Jiulize hivi: mbona al ahly ya misri ni miongoni kwa timu tatu duniani zenye mafaniko makubwa kiwanjani ilhali kiutajiri hàiifikii hata robo ya Norwich city?
Tutofautishe mafanikio ya klabu kiwanjani dhidi ya mafaniko ya klabu kimapato
[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
uto hata uongo hampoTafiti za uongo
Kuna hoja ya msingi hapaNaona unachanganya mafanikio vs uwezo. Unaposema timu A ni bora kuliko timu X, y, na Z kwanza tuelewane ni ubora wa namna gani wa kimafanikio au ya kiuwezo. Kama kimafanikio huwezi kulinganisha anayepigana na fransis cheka akashinda kuwa ni bora kuliko aliyepigwa na floyd mayweather. Ili upate mmbora lazima mizania iwe sawa., Kama ni mnazunguzia ubora wa kiuwezo nikuulize swali je Simba inauwezo wa kumfunga timu gani inayoburuza mkia kwenye ligi kubwa tano tu?
Rudiarudia kusoma andiko langu utaelewa.Naona unachanganya mafanikio vs uwezo. Unaposema timu A ni bora kuliko timu X, y, na Z kwanza tuelewane ni ubora wa namna gani wa kimafanikio au ya kiuwezo. Kama kimafanikio huwezi kulinganisha anayepigana na fransis cheka akashinda kuwa ni bora kuliko aliyepigwa na floyd mayweather. Ili upate mmbora lazima mizania iwe sawa., Kama ni mnazunguzia ubora wa kiuwezo nikuulize swali je Simba inauwezo wa kumfunga timu gani inayoburuza mkia kwenye ligi kubwa tano tu?
hahahahahahqhqManchester City mwaka 2020 alikuwa nafasi ya 5 saizi kapanda nafasi mbili kawa wa 3, yani kawazidi watu wawili tu
Simba alikuwa nafasi ya 361 saizi yupo nafasi ya 98 kwa maana ya kwamba kawapita watu 263
Kutoka alipo simba mpaka nafasi alipo Man City hapo katikati kuna vichwa kama 93
Hii ni speed ambayo inamkatisha tamaa sana Man City na kumkosesha amani sana kwenye nafasi aliyokaa
Hizo ni takwimu zisizo na uhalisia wowote. Ndio maana nimekwambia twende kwa fact, Simba inauwezo wa kuifunga timu ya Levante inayoburuza mkia nchini Hispania? Na kuhusu kusema kuwa wameangalia mafanikio hilo nalo twende kwa fact, je inawezekana vipi timu ya Mbao inayoshiriki ligi daraja la kwanza iwe bora kuliko Simba kisa tu Mbao wamechukua kombe la ligi daraja la kwanza na simba wameshindwa kubeba kombe la ligi kuu.Rudiarudia kusoma andiko langu utaelewa.
.
Utafika mahala utapingana na official information.
.
Sasa Taarifa hii imetolewa na chombo makhusis kwa kazi hiyo, kupinga taarifa husika hakuna namna ya kukusaidi uelewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afisa habari wao jana hajalala anatafuta source ya hii taarifa ili aweke ushahidi Instagram kwamba ni ya uongo hakubali habari nzuri yoyote kutoka simba.Hivi Yanga mbona hawatoi takwimu zao za Ubora wa soka ktk Afrika na Dunia.
Haijulikani ni Wangapi katika rank za CAF na FIFA na Afisa habari wao yiko kimya tu.
Na washabiki wake wala hawaulizi.
Nini shida hasa ?
Na hao wote wameridhika na stastistics na kumpa heshima simbaNimeona Simba ipo juu ya Antwerp,fc Basel,az alkamaar, bodo/grimt hahahahahaha