Simba ya 98 kwa ubora duniani

Simba ya 98 kwa ubora duniani

The top 10 #IFFHS Ranking - Africa. (World)

1. 🇪🇬 Al Ahly - (20)
2. 🇪🇬 Pyramids - (55)
3. 🇲🇦 Wydad - (78)
4. 🇿🇦 Sundowns - (92)
5. 🇹🇿 Simba - (98)
6. 🇩🇿 CR Belouizdad - (104)
7. 🇩🇿 JS Kabylie - (113)
8. 🇦🇴 Petro Luanda - (133)
9. 🇹🇳 CS Sfaxien - (136)
10. 🇹🇳 ES Tunis - (141)
99,9999. Dar young(100,000,000)
 
Hv wenzetu source zenu huwa mnazitoa wapi? Yaani nyie kenge maji muipite tp mazembe,as vita,vilabu kibao ulaya havipo kwenye hyo 100 bora tatzo jf siku hz imekuwa km fb
20220312_015837.jpg
 
Huu ndio uhuni mlioufanya waongopeeni hap hao wajinga wajinga wenzenu no.98 ipo mara mbili mnapata faida gani kupika hz data? Kibaya zaidi ukweli mnaujua ila mnashupaza shingo tu siamini mwamedi hajui km hz ni data za kupikwa
20220312_015918.jpg
 
Kuna hiyo mlisema ni no.10 kwa utajiri afrika eti source ni page ya mashabiki wa kolo wanajiita simbanation na watu wanadandia tu kutaja sifa za kijinga
20220312_015837.jpg
20220302_103212.jpg
 
Nime scroll mpaka club ya mwisho ya jiti tatu na tisini lakini sijaona neno young au yanga

Tufahamishane kama kuna jina lingine altenative ambalo ndugu zetu wanalitumia kisirisiri
Kolo at work
20220312_015837.jpg
 
Kwahiyo Simba iko juu ya West ham!kwanini lakini mashabiki wa simba.msitufanyie hivi ndugu zetu
 
Ila simba wanajua kuwashughulisha yanga yaani badala mlete data za utopolo ni ya ngapi mnapinga data za simba mnasahau na nyinyi mnacheza mpira.
 
Ila simba wanajua kuwashughulisha yanga yaani badala mlete data za utopolo ni ya ngapi mnapinga data za simba mnasahau na nyinyi mnacheza mpira.
Liverpool kazidiwa na Al Ahly kwa ubora, As Roma isiyo na mbele wala nyuma ni bora kuliko Liverpool, Intermilan Mh data zinashangaza sana.
 
The top 10 #IFFHS Ranking - Africa. (World)

1. [emoji1093] Al Ahly - (20)
2. [emoji1093] Pyramids - (55)
3. [emoji1173] Wydad - (78)
4. [emoji1221] Sundowns - (92)
5. [emoji1241] Simba - (98)
6. [emoji1026] CR Belouizdad - (104)
7. [emoji1026] JS Kabylie - (113)
8. [emoji1029] Petro Luanda - (133)
9. [emoji1249] CS Sfaxien - (136)
10. [emoji1249] ES Tunis - (141)
halafu useme watu wanatumia akili kweli. kama sio kurogwa huku. yan hata kama ni umbumbu hapa unakuwa umevuka mpaka. sasa ndio naanza kuamini ushabiki unapunguza uwezo wa kufikiria.

kwa mfuatiliaji wa soka ambaye hatangulizi ushabiki hata kama wewe ndio mmliki wa Simba ukipewa hizi data unakataa mara moja na kusema sistahili nafasi hiyo.

inaingia vipi akilini, Raja Casablanca msimu juzi amecheza nusu fainali club bingwa, msimu jana amechukua kombe la shirikisho tena kwa kishindo kwa kucheza mechi za makundi bila kufungwa mchezo hata mmoja, na pia bila kuruhusu goli hata moja. msimu huu yuko makundi club bingwa halafu eti hayupo kwenye hiyo orodha. si ndio tafsiri ya umbumbu hiyo?

eti Esperance Tunis awe chini ya simba kwa ubora.

tuache unazi wa kitoto.
 
Kwa hiyo oscar oscar ndio chanzo chako cha kuaminika kwenye habari?

Una utofauti gani kati ya wewe unaye amini oscar oscar kama chanzo cha uhakika cha habari na wale walioleta habari kupitia page ya simbanation?
Oscar sio reference na hatakuja kuwa reference ila kweli kolos mnapenda sana kuongopewa
 
Back
Top Bottom