Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Tumeongopewa na nani?Oscar sio reference na hatakuja kuwa reference ila kweli kolos mnapenda sana kuongopewa
Mimi nimekuambia IFFHS wamepewa authority na FIFA yani kiufupi ni taasisi ambayo inatambulika na FIFA
Kama unaona nadanganya, nimekupa kazi ya kuniambia ni nani aliyewapa idhini hao IFFHS kuweka rank, hujaniambia mpaka muda huu unakazania kunipa tweets za oscar oscar