Simba ya 98 kwa ubora duniani

Simba ya 98 kwa ubora duniani

Oscar sio reference na hatakuja kuwa reference ila kweli kolos mnapenda sana kuongopewa
Tumeongopewa na nani?

Mimi nimekuambia IFFHS wamepewa authority na FIFA yani kiufupi ni taasisi ambayo inatambulika na FIFA

Kama unaona nadanganya, nimekupa kazi ya kuniambia ni nani aliyewapa idhini hao IFFHS kuweka rank, hujaniambia mpaka muda huu unakazania kunipa tweets za oscar oscar
 
Manchester City mwaka 2020 alikuwa nafasi ya 5 saizi kapanda nafasi mbili kawa wa 3, yani kawazidi watu wawili tu

Simba alikuwa nafasi ya 361 saizi yupo nafasi ya 98 kwa maana ya kwamba kawapita watu 263

Kutoka alipo simba mpaka nafasi alipo Man City hapo katikati kuna vichwa kama 93

Hii ni speed ambayo inamkatisha tamaa sana Man City na kumkosesha amani sana kwenye nafasi aliyokaa
😂😂😂
 
Mashabiki wa simba wale wakalia sindano tu, ndio watatetea huu ujinga.
 
Back
Top Bottom