Simba ya msimu huu ni mbovu kuliko ya msimu uliopita, tukijitahidi sana nafasi ya 7

Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
Mwana UTOOO katika ubora wake
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kuna Jamaa kaanzisha Uzi huko anaipongeza team yake ya Simba kuwa wapinzani wataita maji mma,tuelewe kipi sasa wakuu au huenda Simba ziko mbili kila mtu anachambuq yake?
 
Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
Wameyataka wenyewe kitu gani kilicho wafanya wachelewe kushughulikia vibali vya wachezaji wao watano,acha wapigwe.
 
Upo sahihi kabisa.
Tupo nafasi ya 7 kwa Ubora Africa.
Wenye mpira mzuri sijui wako position gani.
Hiyo nafasi ya 7 umeipata kwa msimu huu? Mtu anaongelea msimu huu wewe Unazungumzia mafanikio ya CAF ya msimu uliopita
 
Hii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
Baada ya kuandika huu uzi, mwenzako kanena .....Awesu Awesu fundi wa boli, nna hakika ipo siku mtu anakula 8

Back
Top Bottom