mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Simba haitamridhisha kila shabiki. Aidha uipende hivyo au uendelee kuiponda, lakini sisi tunasema, "SIMBA, NGUVU MOJA"!Shabiki lia lia macho yako hayaoni ?
hii simba ni mbovu.Simba haitamridhisha kila shabiki. Aidha uipende hivyo au uendelee kuiponda, lakini sisi tunasema, "SIMBA, NGUVU MOJA"!
Mwijaku alibeti kumtoa mke na mpaka Sasa hivi hajampa Ally Kamwe mke wake, halafu wewe eti unabeti hela! My foot!!hii simba ni mbovu.
the last season simba is stronger and better than this season simba.
I will bet my money you might not qualify for cafcc group stage .
MayI will bet my money you might not qualify for cafcc group stage .
Mjinga kama wajingine tuHii ndio simba mbovu kuwahi kuishihudia kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni ,timu ni nzito ,washambuliaji hawaeleweki ,wings ni butuabutua tu ,mwaka huu tumekwisha kabisa
Dada ZENU waliwapiga NANE hao msimu ulioisha.FT ssc 3 - 0 Tabora.
Unafurahi vipi wewe Dada wakati unadaiiwa marejesho ya vicobaTumeshinda kwa taabu mbele ya timu mbovu sana ! Tumeshinda lakini hatuna furaha ,
We are saving this narration for future use.hii simba ni mbovu.
the last season simba is stronger and better than this season simba.
I will bet my money you might not qualify for cafcc group stage .